Habari Wakuu
Kwanza nikubali mimi ni mgeni katika JF na nimefurahi kwani hii forum ina elimisha kuliko mtandao mwingine wa kijamii na pia kuna Members wapo tayari kuelimisha; huu ndo uTanzania...
TAHLISO nimeona kauli yenu ila napenda kujibu hivi.
TSNP ni non-profit organization, ni Civil society .sio tawi la serikali,wala sio tawi la chama cha siasa .kazi yetu kubwa ni kutetea haki na...
Wakuu habari za kazi.
Kuna short course ya data analysis and visualization inatolewa na UDSM kupitia college of ICT, Kijitonyama, Tanzania data Lab.
Ningependa kujua kama kuna mtu aliyewahi ku...
Kuendelea kusua sua kwa maendeleo na ufaulu katika masomo ya Hisabati na Sayansi kumewafanya wadau mbalimbali kushirikiana na kutafuta namna ambavyo wanaweza kushirikiana kuongeza ufaulu katika...
Habari zenu wakuu..
Nina ndugu yangu mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2014 alipata ufaulu wa MERIT
KWA MATOKEO HAYA:
CIVICS. D
HISTORY B
GEOGRAPHY B
KISWAHILI B
ENGLISH B+
PHYSICS C
CHEMISTRY B...
Habari wadau,Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE ila amepata daraja la nne pointing 27,yaani Physics -F, Chmistry-F, Biology-D, Kisw-C, Histor-D, Engl-C, Math-F, Civics-F, Geog-D, sasa...
Habari zilizojiri jijini Dar es salaam ni kwamba Dr.Shayo ameanza rasmi kumwaga lecture kama mhadhiri mwandamizi wa uchumi, chuo kikuu huria cha tanzania. Hongera sana Dr.Shayo. Nchi inahitaji...
Habari Wana jamvi , hv juz nilileta uzi umu kuhusu mdogo wangu anaetaka kurisit nashukuru kuna walionishauli point sana, leo nimekuja kuuliza kama kuna mtu anapajua morogoro , maeneo ya nane nane...
Mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2017 na kapata Div I 14, masomo yoote kapata wastani "B"
Natafuta PRIVATE SCHOOLS atakayoweza ku-soma PCB iliyoko mkoa wa Mwanza
Tafadhali naombeni msaada wenu JF
Kama ilivyo ada ya wana jamiiforum kupeana ushauri na kuelekezana pamoja na kushare idea. Naombeni wakuu mseme chochote cha msingi aidha madhaifu ya hicho chuo au ubora wake kitaluuma asanteni sana.
Habari wakuu,
Naomba kuuliza, kuna uhusiano wowote kati ya Radi na Rangi ya kitu mf nguo, nyumba n.k? Maana tangu nipo mdogo huwa nasikia radi huwa inapiga vitu vyenye rangi nyekundu, na hapa...
Habari,
Kuna rafiki yangu niliemaliza naye kidato cha nne mwaka jana na matokeo yake ni
M 27 IV CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
Sasa...
Habari zenu wakuu.
Niko Korogwe Tanga kikazi, nina idea ya kupata pesa somewhere.
Kwa mwalimu anayekaa Korogwe aje pm tuyajenge.
Sifa
1. Awe vizuri kufundisha Hisabati na Physics (o level)
2. Awe...
Habari wakuu wote humu.?
Nimatumaini yangu nyote ni wazima na mnaendelea kupambana na hali zetu hususani katika kipindi hiki cha awamu yatano.
Katika kuhakikisha Maisha yanaendelea kwa kutanua...