Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,345
Habari wadau,Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE ila amepata daraja la nne pointing 27,yaani Physics -F, Chmistry-F, Biology-D, Kisw-C, Histor-D, Engl-C, Math-F, Civics-F, Geog-D, sasa nimebaki njia panda maana angepata D,kwenye masomo ya Sayansi ningempeleka akasomee nesi,lakini nataka arudie mtihani,je akifanya mitihani miwili tu anaweza kuunga cheti,yaani asome Historia na Geografia ili ikibidi aende hata kidato cha tano baadae?