Msaada wa haraka anatafuta shule kwa matokeo haya

Msaada wa haraka anatafuta shule kwa matokeo haya

texaz mc

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
371
Reaction score
205
Habari,
Kuna rafiki yangu niliemaliza naye kidato cha nne mwaka jana na matokeo yake ni
M 27 IV CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
Sasa anatafuta shule ya private ya kidato cha tano huku awe anarudia somo la Geography na English. Je ni shule gani inaweza kumchukua??

Kama unaijua nisaidie location na namba zao. Anahitaji msaada wa haraka maana usajili kwa wanaorudia mitihani unakaribia kuhitimishwa.
Ahsanteni.
 
b039d1b399e3d3e22c3d2174ff696901.jpg
 
Back
Top Bottom