Anataka kufanya Research, ni maswali gani awaulize wafanyakazi na wananchi wa eneo hilo?

thegeniustzda

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
211
358
Wakuu Nina Mdogo wangu anataka afanye project yupo form4 Research ya Geography Topic Environmental Pollution Sub-Topic LAND/SOIL POLLUTION Anataka Aende Kwenye Kiwanda Cha Ngozi Wakuu Msaada Ni Maswali Gani Anayopaswa Kuwauliza Wafanyakzi na Wananchi Wanaoishi Karibu Na Kiwanda
 
Project au Research??
Kama ni form four kwa kweli hawezi kufanya research hata kidogo maana anashindwa tu kuna vitu viko deep yeye hata mwalimu wake hajamgundisha.
Hiyo project anayoitaka yeye afanye literature review ya vitabu vitatu aandike tu afu akusanye(kumbuka hawa type)
 
Back
Top Bottom