Private schools gani bora kwa student mkoa wa Mwanza?

Private schools gani bora kwa student mkoa wa Mwanza?

Mkalimani wa Bibi

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2017
Posts
801
Reaction score
3,143
Mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2017 na kapata Div I 14, masomo yoote kapata wastani "B"

Natafuta PRIVATE SCHOOLS atakayoweza ku-soma PCB iliyoko mkoa wa Mwanza

Tafadhali naombeni msaada wenu JF
 
Back
Top Bottom