Nifanyeje kuhusu huyu mwalimu

Nifanyeje kuhusu huyu mwalimu

We jinsia gani na huyo mwalimu ni jinsia gani? Maana Bongo hapa hakuna kitu cha bure lazima ukigharamikie ili kiwe chako. Hao qasamaria wema walishastaafu kabla ya kwenda kwenye vita ya kagera
 
yan unasoma adv alaf hujui nia ya mwl , ndo nyie mnajazaga watu kwenye interview
 
Nasoma tution masomo ya A level HKL jamani nimlip sh ngapi huyu mwalimu ataki kutaja bei ya tution amesem nijipangie mwenyew ela ya kumpa ye anachotaka kunisaidia nisome Ila ela ya kumlipa kwake yeye sio shida ata nikimp elfu sawa sasa najiuliz mengi kwasabu ndo kwanza tumefahamiana saiz.anasema we sana sana andaa ela ya copy tu mana vitu vingi itabid utoe copy
sitaki malipo ya pesa, usijali ntakuambia badae unilipe nini. Wewe endelea kusoma tu.
 
15ed76904bc32a9ed481e8bbdd72b60f.jpg
 
Nasoma tution masomo ya A level HKL jamani nimlip sh ngapi huyu mwalimu ataki kutaja bei ya tution amesem nijipangie mwenyew ela ya kumpa ye anachotaka kunisaidia nisome Ila ela ya kumlipa kwake yeye sio shida ata nikimp elfu sawa sasa najiuliz mengi kwasabu ndo kwanza tumefahamiana saiz.anasema we sana sana andaa ela ya copy tu mana vitu vingi itabid utoe copy
Huo uandishi wako mbona wa darasa la 7.
Hakuna a level wa namna hii
 
Nasoma tution masomo ya A level HKL jamani nimlip sh ngapi huyu mwalimu ataki kutaja bei ya tution amesem nijipangie mwenyew ela ya kumpa ye anachotaka kunisaidia nisome Ila ela ya kumlipa kwake yeye sio shida ata nikimp elfu sawa sasa najiuliz mengi kwasabu ndo kwanza tumefahamiana saiz.anasema we sana sana andaa ela ya copy tu mana vitu vingi itabid utoe copy
We ni jinsia gani? kama ni wa kike basi hiyo ni gia ya kukuvuta...

Watu ambao wapo kikazi huweka biashara zao wazi hiyo milolongo yote ya nn?
 
Back
Top Bottom