Naomba ushauri kuhusu banking career


Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
91
Likes
1
Points
15
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined Jan 3, 2013
91 1 15
Habari wanaJF,
Naomba ushauri wenu kwa wanaojua kuhusu taaluma ya Banking.
Ningependa kujua vitengo vyake na duties.
Asanteni.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,514
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,514 280
well, unaweza angukia ktk kundi la wale wanaoshika mamilioni kila siku ,ila jioni wakirudi kulala..wana madeni mengi sana yenye riba huko mitaani, na michango mingi sana...ial all in all mkopo wa gari na simu nzuri ,huku ukihudhuria sana baa,kunaweza kusitiri sana kwa nje.Ila rohoni utakuwa unajua mwenyewe.

Km una hela kidogo ya kutosha basi fikiria fungua saccos yako utakayoilenga kuja kuwa bank.
 
U

USER2013

Member
Joined
Jan 24, 2013
Messages
91
Likes
37
Points
25
U

USER2013

Member
Joined Jan 24, 2013
91 37 25
Unaweza ku-specialize in these areas; treasury, credit or general banking operations.
Sijajua your academic background and level ya elimu yako ili nisaidie zaidi
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
16,594
Likes
3,148
Points
280
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
16,594 3,148 280
Kama ni wakike sahahu kuolewa, utakuwa Nungaembe na ukiolewa ndoa lazima iwe ngumu maana kufunga ofisi benki umewahi ni sAa moja. Vishawishi kibao.
 
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,546
Likes
64
Points
145
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined Dec 7, 2007
4,546 64 145
Overview of banking
Banks are large, complex
organizations, but what do they do
exactly?
Put simply, they provide services for
those who want to borrow, lend and
invest. Their clients range from
individuals and institutions, all the
way up to the governments and
central banks of entire countries.
Banks must be equipped to act on
changes in the market which can be
triggered by movements in the
political climate, the financial climate
and even the weather.
Being able to adapt to change is vital
to all roles in the bank, irrespective
of the area you work in.
There are four broad categories of
banking:
Retail Banking - dealing directly
with small businesses and
individuals
Commercial or Corporate Banking
- offering banking facilities to
medium-to-large businesses
Private Banking - a one-to-one
service for rich individuals
Investment Banking - generally
related to helping clients raise
capital, often by investing in the
financial markets.
There's a vast number of career
opportunities within banking. We've
split the disciplines into 12 areas of
banking covering typical divisions
like Sales & Trading as well as
Human Resources, Technology and
Risk.
With the right introduction to this
complex and rewarding industry you
could find yourself in a dream job
surprisingly quickly. This site will get
you started...

Fuata hii link
The Unofficial Guide to Banking
 
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
91
Likes
1
Points
15
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined Jan 3, 2013
91 1 15
Unaweza ku-specialize in these areas; treasury, credit or general banking operations.
Sijajua your academic background and level ya elimu yako ili nisaidie zaidi
Asante sana USER2013.elimu yangu form4
 
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
91
Likes
1
Points
15
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined Jan 3, 2013
91 1 15
Kama ni wakike sahahu kuolewa, utakuwa Nungaembe na ukiolewa ndoa lazima iwe ngumu maana kufunga ofisi benki umewahi ni sAa moja. Vishawishi kibao.

Hahahahaha!
Lakini kibanga Ampiga Mkoloni,si hata akitoka saa moja si analipwa mpunga wa kufa mtu?
 
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
91
Likes
1
Points
15
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined Jan 3, 2013
91 1 15
Kama ni wakike sahahu kuolewa, utakuwa Nungaembe na ukiolewa ndoa lazima iwe ngumu maana kufunga ofisi benki umewahi ni sAa moja. Vishawishi kibao.

Hahahahaha!
Lakini kibanga Ampiga Mkoloni,si hata akitoka saa moja si analipwa mpunga wa kufa mtu?
 
Mrs Kharusy

Mrs Kharusy

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
1,248
Likes
24
Points
145
Mrs Kharusy

Mrs Kharusy

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
1,248 24 145
Overview of banking
Banks are large, complex
organizations, but what do they do
exactly?
Put simply, they provide services for
those who want to borrow, lend and
invest. Their clients range from
individuals and institutions, all the
way up to the governments and
central banks of entire countries.
Banks must be equipped to act on
changes in the market which can be
triggered by movements in the
political climate, the financial climate
and even the weather.
Being able to adapt to change is vital
to all roles in the bank, irrespective
of the area you work in.
There are four broad categories of
banking:
Retail Banking - dealing directly
with small businesses and
individuals
Commercial or Corporate Banking
- offering banking facilities to
medium-to-large businesses
Private Banking - a one-to-one
service for rich individuals
Investment Banking - generally
related to helping clients raise
capital, often by investing in the
financial markets.
There's a vast number of career
opportunities within banking. We've
split the disciplines into 12 areas of
banking covering typical divisions
like Sales & Trading as well as
Human Resources, Technology and
Risk.
With the right introduction to this
complex and rewarding industry you
could find yourself in a dream job
surprisingly quickly. This site will get
you started...

Fuata hii link
The Unofficial Guide to Banking
u mst be a banker!
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
16,594
Likes
3,148
Points
280
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
16,594 3,148 280

Hahahahaha!
Lakini kibanga Ampiga Mkoloni,si hata akitoka saa moja si analipwa mpunga wa kufa mtu?
Thubutu hakuna hela, labda upige CPA fasta fasta upate kazi ya AUDITOR.
Ila kwa kuganga njaa na kutengeneza CV wewe fanya tu kijana,
kama vipi ni PM kwa maelezo zaidi.
 
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
91
Likes
1
Points
15
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined Jan 3, 2013
91 1 15
Hivi na BOT,kuna afisa mikopo?
Barchelor of banking inachukua miaka mingapi?
 
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
8,330
Likes
5,084
Points
280
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
8,330 5,084 280
Siku hizi banks zinaajiri graduates...kwa hiyo kama unapenda kuwa banker fanya juhudi upate degree ama adv.diploma halafu from there unaweza ku-grow to any level japo utaanzia normal operations kama customer care, cash dept au kwingineko...kifupi Bank unaweza kuaccess mikopo mbalimbali after probation period...yote maisha tu
 
B

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Messages
1,080
Likes
123
Points
160
B

Balacuda

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2013
1,080 123 160
Tatizo akija jamaa mwenye MBA mna-compete equally in each specialization. MBA Kiboko akiongeza na ka ACCA/CPA. kwisha yaani ni universal it cut across the entire finance industry. kazi unaacha leo mwezi ujao unapata mbili tena za juu. unaweza kuwa kahaba wa kazi
 
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
91
Likes
1
Points
15
Nguyaki

Nguyaki

Member
Joined Jan 3, 2013
91 1 15
Siku hizi banks zinaajiri graduates...kwa hiyo kama unapenda kuwa banker fanya juhudi upate degree ama adv.diploma halafu from there unaweza ku-grow to any level japo utaanzia normal operations kama customer care, cash dept au kwingineko...kifupi Bank unaweza kuaccess mikopo mbalimbali after probation period...yote maisha tu
Nakushukuru sana Patrickn!changamoto kubwa ya masomo ya banking nini Patrickn?
 

Forum statistics

Threads 1,250,628
Members 481,436
Posts 29,739,470