VETA inaweza Computer Programming

VETA inaweza Computer Programming

TheCrazy Mchokozi

Senior Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
181
Reaction score
252
Habari Wakuu

Kwanza nikubali mimi ni mgeni katika JF na nimefurahi kwani hii forum ina elimisha kuliko mtandao mwingine wa kijamii na pia kuna Members wapo tayari kuelimisha; huu ndo uTanzania

Nirudi Kwa TOPIC yangu: VETA ni chuo ambacho kuna baadhi ya wananchi wanakidharau, ila mimi binafsi nina ndugu zangu wamejifunza UFUNDI pale na kwa sasa wamejiajiri

Wengi waliojifunza ufundi VETA wana ujuzi(skill) kubwa kuliko 'ordinary degree holder'

Computer Programming inasemekana ndani ya miaka 10 ya mbeleni itaajiri asilimia kubwa ya vijana duniani katika sekta zote

MY THOUGHT

Nime-conmet VETA na Computer Programming nikimaanisha kwamba Serikali inaweza pia kuwaajiri walimu waliobobea katika fani hii ya programming na kuiongeza fani hii VETA.

Wanafunzi(interested in programming) wanaomaliza form 4 na form 6 wanaweze kujifunza PROGRAMMING muda ule wanasubiria matokeo yao.

Baada ya Muda mfupi tutaweza kushuhudia ukuaji wa 'computer proggy' nchini na wakishiriani vizuri wanaweza kuzindua APPS, WEBSITES na GADGETS za kisasa

Ilo ndo wazo langu

'Am Open To Any Corrections and thought additions'

Regards
 
ndugu yangu km ni
VETA hata Introduction application to computer bado tafuta hata vyuo vingine km Dar es salaam University of computer upate elementary
 
Mkuu tungekuwa siyo shitholes ndo tungeweza kufanya hicho kitu!![emoji53][emoji53][emoji53]
Walaa Mkuu, tunaweza ni wazo ambalo kwa sasa tunahitaji viongozi ambao wanaweza kusukuma hoja kama hizi kutusaidia kukua kielimu
 
ndugu yangu km ni
VETA hata Introduction application to computer bado tafuta hata vyuo vingine km Dar es salaam University of computer upate elementary
Hapa Mkuu Wangu Sijasema Nataka Nianze Kusoma Mimi, ili ni wazo nimependekeza serikali ili-introduce kusaidia vijana na VETA ni njia rahisi na affordable kwa vijana kupata hii elimu katika kona za nchi yetu

Je Unafikiri Itakuwa Ngumu Kuitumia VETA ku-deliver hii elimu?!
 
Back
Top Bottom