Dr. Hilderbrand Shayo: Mhadhiri Mwandamizi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Hilderbrand Shayo: Mhadhiri Mwandamizi Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mwanamalundi, Feb 26, 2010.

 1. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,118
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Habari zilizojiri jijini Dar es salaam ni kwamba Dr.Shayo ameanza rasmi kumwaga lecture kama mhadhiri mwandamizi wa uchumi, chuo kikuu huria cha tanzania. Hongera sana Dr.Shayo. Nchi inahitaji wazalendo wenye moyo kama wewe. Tunakutakia kila jema, katika majukumu yako ya kuelimisha taifa letu changa.
   
 2. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Naomba kidogo maelezo kidogo juu ya huyu jamaa kuwa ni nani maana umekuja na habari kidogo na amefanya nini katika Taifa letu??
   
 3. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,118
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ni miongoni mwa watanzania wachache sana waliobobea katika fani ya uchumi. Amefundisha pamoja na kufanya tafiti mbalimbali za uchumi nchini uingereza kati ya mwaka 2000 hadi 2009, katika chuo kikuu cha south bank kilichopo jijini london. Amejikita zaidi katika fani ya resource economics.
   
 4. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mimi ni moja ya masomo yangu ambayo nasoma pia kama ndiyo hivyo basi itakuwa safi sana kama akienda kufundisha university of Dodoma, na pia alikuwa huko, kuna kipindi fulani alikuwa anajadiliwa humo ndani ya JF ndio yeye okay
   
 5. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,118
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
 6. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
 7. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Labda anataka ubunge kama wengi tunaweza kujua kuwa ni kipindi cha lala salama
   
 8. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,746
  Likes Received: 4,228
  Trophy Points: 280
  Thats very good.

  Hivi jamaa amesoma wapi degree zake?

  Jamani nauliza maana siku hizi Tanzania tunadanganywa sana na "hawa wasomi waliobobea". Wanaenda wanadaka degree zao kwenye vyuo vya "voda fasta" wanakuja kama ma-dr kushape sera za nchi yetu kama akina Nagu na Nchimbi. Ofcourse..once beaten..twice shy.

  So wenye CV ya huyu daktari aliyebobea..waimwage hapa!

  Masanja,
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mmemleta tena??
   
 10. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jambo jema kurejea nyumbani kuja kuendelezaa vizazi kupitia elimu. Natumai OUT na wasomi wa Tanzania watafaidi mchangoo wako katika kukuza elimu nchini
   
 11. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hivi Dr wa Engineering afundishe Economics halafu aitwe Gwiji mh!!! nashaka nae maana sijapata paper yake hata moja au kwa kuandika katika michuzi blog ameshakuwa gwiji ama kweli bongo tambarare!!!
   
 12. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wewe mchokozi masanja kwanini usigoogle au kutumia search engine zenginezo kupata detail za huyu jamaa mie nimekuta jamaa yupo London South Bank University anafundisha department of engineering. Sitaki katika hoja ya hadhi ya chuo naogopa wapenzi wake wasije kunimeza but in short it is a bit suspicious chuo hata katika rankings kinashika mkia in UK.

  Mgoogle jamaa unaweza kubahatika kupata paper yake moja ya economics
   
 13. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Naomba unifahamishe Mkuu,

  Kuna kazi yake yoyote aliyofanya iliyowahi kuwa published kwenye anga za kimataifa??
   
 14. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Amepublish katika You Tube, Michuzi na magazetini!!!! hehehehehe:) Tanzania bwana inafurahisha sana Bongo Tambarare bwana:cool: Kwanza jamaa ni Senior Research Fellow meaning that anafanya utafiti hapo South Bank na si lecturer inawezekana part ya contract yake afundishe hapo chuoni. Sasa inaelekea mshkaji anatafuta ajira bongo ikiisha contract ndio maana yupo busy michuzi na you tube na katika magazeti ajulikane
   
 15. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,624
  Likes Received: 595
  Trophy Points: 280
  Nina wasi wasi!
  Nime-google jina lake simuoni, badala yake naona mambo ya majadiliano na critics juu yake.

  Kama amebobea lazima awe anaandika kazi za kitaalamu na tunahitaji kuona machapisho yake ktk web.

  HATUMUONI!!!
   
 16. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Kumwaga Lecture ni Siasa au Elimu?
   
 17. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Dr Shayo amejitahidi sana kufika hapo alipo...sina lolote negative la kusema juu yake.

  Ninacho kiona cha upuuzi ni mtu kuja hapa na kusema Dr H. Shayo ni Mchumi ALIYEBOBEA. Iwapo Tanzania "LEO" tunamuona Dr Shayo ni mchumi aliyebobea basi huko tuendako kunatia wasiwasi sana. Dr amejitahidi, na sipendi kumfananisha na yoyote yule ila bado hajastahili title ya "MCHUMI ALIYEBOBEA". Bado labda miaka ijayo.

  Otherwise, nampa hongera sana kwa kupeleka mchango wake kunakohusika Tanzania.
   
 18. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Hahahahah ama kweli duniani kuna mambo. Mkuu unaamanisha PUBLICATIONS KAMA HIZI HAPA CHINI?
  http://www.youtube.com/user/hildebrandshayo
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=GhhdzSHcf5I"]YouTube- Chagga wedding storm London in 2009[/ame]
   
 19. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ndio mchumi wetu aliyebobea ah bongo tambarare bwana Profesa Baregu hana maana wanamuona wakati yule ndio anaitwa mtu aliyebobea. Shayo ndio mchumi aliyebobea huoni ni kituko hicho? Publication wapi you tube, michuzi na magazetini!!!

  Anyway best wishes mshkaji ndio tanzania yetu hiyo!!!! kizunguzungu tu
   
 20. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Unaweza kuwa umesoma injinia na ukawa unafundisha Economics jaribu kutazama vyuo mbalimbali kuna wachumi ambao degree zao za kwanza zilikuwa ni applied science na sasa wanafundisha economics
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...