Ndugu wanajamvi..
Rejea kichwa cha habar hapo juu...
kwasasa na miezi tisa katika utumishi wa umma, kwa nafasi ya ukufunzi wa somo la kompyuta katika chuo fulani cha ufundi chini ya wizara ya...
Hello wanajamvi habari zenu nyote.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, kwa mwenye hivi vitabu kwa soft copy itapendeza sana kama ntavipata.
1. Mushi, E.G. (2014). Administrative Law in Tanzania...
Certificates for sale
By Mkinga Mkinga , the Citizen 26 September
Do you want an 'original' national school examination certificate without having to sweat for it in an exam room? It's...
Habari zenu wanajf natumai mu wazima pia poleni na mihangaiko ya maisha
Nna jambo moja hapa naomba ushauri utakaofaa Kwa upepo wa sasa kuna mtu hapa ni mwalimu yupo ngazi ya Cheti...
Labda niiweke mada hii vizur ndugu zangu wa JF nimesikia maneno mengi kwa baadh ya watu ati Kusoma PCM ni kujichosha kwani suala la ajira hapa nchini kwetu ni ndoto
Kwa walio pitia njia hii...
Elimu lazima ishuke tusipokuwa makani walahi.
Darasa la wanafunzi 200 wanafanya mtihani kwenye chumba kimoja, madawati yamekaribiana sana, mwalimu/msimamizi/invigilator yuko bize na smartphone...
Mimi nilifanya mtihani wa form six kwa combination ya HKL nilipata division three but o level Nina c ya physics ,C, chemistry ,D ,ya biology ,civics ,B, English ,C, na mengine D , math ,F ...
Mabadiliko yaliyofanywa na baraza la mitihani yaani necta, hayaendani wala hayajategemewa kama kuwa itakuwa ni suluhu ya uboreshaji wa elimu yetu
Nashauri serikali wapitie na waangalie upya aina...
Nataka niende chuo cha nursing naomba mnisaidie kupa instruction za hivyo vyuo
Naomba ushauri nimepata three ya 24 nina phy D chem D biol C kisw C civ C engl C Geo D math D
Nina elim ya form six napenda nisome Diploma ya ( Network&hardware au Network security au Multimedia) naomba mnishauri ipi kozi mzuri zaid kat ya hizo na vyuo ambavo naeza kusoma.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana Mfanyabiashara mmoja mkubwa tu wa Mkoa wa Mtwara na ambaye pia ana Kampuni yake kubwa hapa nchini alisababisha Ukumbi mzima wa IKULU kupata ' mshtuko ' mara...
Habari wakuu?
Nafikiri lingekuwa jambo jema sana kama, final examinations kuanzia darasa la nne, saba na kidato cha pili, nne, sita hadi university examinations wawe wanarudisha kama feedback kwa...
ELIMUKOMBOZI
1.0 Utangulizi
Elimu ni suala la jamii ambalo mipango na taratibu zake zinahitaji kushirikisha wadau wote katika jamii. Madhumuni ya Elimu kwa ujumla ni kuifanya dunia kuwa mahali...
Habari za Alasiri wana JamiiForums
Nilishawah kuwauliza humu watu wengi kuhusu shida yangu lakini wakanipuuzia na ni wachache sana walionipa maoni.
Suala lililokuwa ninalisumbua ni hili.
JE ni...
Hivi UDSM hakuna course za diploma,mbona kwenye ile online application system yao hakuna mahala pa diploma kutuma application za engineering,kuna nini hasa wajuzi nisaidieni.