Greencolour
Senior Member
- Feb 19, 2018
- 105
- 83
Habari zenu wanajf natumai mu wazima pia poleni na mihangaiko ya maisha
Nna jambo moja hapa naomba ushauri utakaofaa Kwa upepo wa sasa kuna mtu hapa ni mwalimu yupo ngazi ya Cheti
Anataka kusoma OPEN na abadili course asome ACCOUNTANT sasa anashindwa kufanya maamuzi aendelee na EDUCATION au abadili naombeni tumshauri