Duh! haponi mtu!Yaani maana yake ni kwamba kwa mfano wewe ukisafiri kwenda mafinga na jamaa zako usiwaage afu waende kuripoti police na huko mafinga ukifika upoteze fahamu na usaidiwe nauli na kijana wa UVCCM ili uende police sijui kufanya nn! Hapo ndo utakuwa UMEJITEKA MKUU
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha serikali "kujiteka mwenyewe" inamaanisha nini?
Hapo elimu imepanda au imeshuka?unachukua Simu..unaingia kwa Whatsup una-text: ''I am at high RISK''..
halafu unaingia "dark''..na baada ya masaa 24 unaokotwa pembezoni ya barabara kuu, Km 530 toka dar...na unaenda ripoti Central..
unapowaeleza mkasa wako wa ~kuokotwa bila kupigwa wala ngeu.. ~halafu umejipuliza 'perfume'...
unakuwa hueleweki kwa pot
Na hapo kitendawili cha Kuokotwa kinabatizwa...UMEJITEKA