Pyredbello
Member
- Feb 25, 2018
- 54
- 35
Labda niiweke mada hii vizur ndugu zangu wa JF nimesikia maneno mengi kwa baadh ya watu ati Kusoma PCM ni kujichosha kwani suala la ajira hapa nchini kwetu ni ndoto
Kwa walio pitia njia hii nikimaanisha PCM naomba clarification juu ya mada hii
.Aaante
Kwa walio pitia njia hii nikimaanisha PCM naomba clarification juu ya mada hii
.Aaante