Imenisikitisha, imeniuma, imenishtua na imenishangaza sana!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,418
108,518
Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana Mfanyabiashara mmoja mkubwa tu wa Mkoa wa Mtwara na ambaye pia ana Kampuni yake kubwa hapa nchini alisababisha Ukumbi mzima wa IKULU kupata ' mshtuko ' mara baada ya kupewa muda wa Kuzungumza yake na ambapo alisema mengi lakini kubwa alilolitilia ' mkazo ' ni pale aliposema kwamba Wasomi wengi wenye Masters Degree na hadi PhD wanaoomba Kazi Kwake hawajui Kuandika Barua zao za Kazi na kuandaa pia CV zao hali ambayo humlazimu wakati mwingine Yeye kama ' Muajiri ' kuzirekebisha.

Elimu ya Tanzania iangaliwe kwa umakini tafadhali.

Nawasilisha.
 
Anazirekebisha ili iweje? Awape kazi au?

PhD ya mikorosho na utomvu wake.
 
Inasikitisha mno, tusishangae wakipewa post wanavyovurunda vibaya mno, ila kwa kujisifia kwenye radio na luninga hawajambo hawa, utashangaa wanavyoporomosha mabombastic ya lugha na kujifanya wajuaji kuliko......
 
Wewe kumbe GENTAMYCINE ni mwanamke duuh

Kama unataka kujua ' Jinsia ' yangu ni vyema tu ukauliza moja kwa moja kuliko kuzungukazunguka utafikiri Mtu aliyeshikwa na Tumbo la ' Kuharisha ' halafu Chooni amekuta kuna Mtu amemtangulia. Jinsia yangu halisi mtafute ' Mamaako ' ndiyo anaijua vyema kwani huwa ' anawajibika ' nayo mara mbili kwa kila Wiki.
 
Si bishani na mjinga wewe mwanamke una matatizo sio siri nakushauri ukapimwe akili kwanza eti
Nawasilisha
Kenge wewe!!!
 
Somo la Communication skills nila muhimu sana, japo wanachuo wengi huwa wanalidharau.

Precisely Mkuu katika hili hata Mimi ni ' Shuhuda ' kabisa kwani Wanavyuo wengi mno huwa ' wanalidharau ' hili Somo lakini nisikufiche ni Somo ambalo ukija sasa huku ' Uraiani ' utagundua ya kwamba lina umuhimu mkubwa sana na linatumika maeneo mengi tu.
 
Unajifanya unajua kuikosoa serikali huna jipya
 
Back
Top Bottom