Kama unalisemea UDSM kuwa na kozi za Diploma, hiyo haipo. Ni kuanzia Degree mpaka PhD.Hivi UDSM hakuna course za diploma,mbona kwenye ile online application system yao hakuna mahala pa diploma kutuma application za engineering,kuna nini hasa wajuzi nisaidieni.
Kwa uelewa wangu kuna certificate na deploma ya IT and computer science kwenye kile kitengo cha computing center na pia kuna certificate of law kwenye faculty ya law kwa hizo nyengine sijackia badoHivi UDSM hakuna course za diploma,mbona kwenye ile online application system yao hakuna mahala pa diploma kutuma application za engineering,kuna nini hasa wajuzi nisaidieni.
Kwa CBE IFM NIT ndio wamefungua maombi cjui kwa vyuo vyengine imekaajeFomu za kujiunga mwaka wa masomo ngazi ya degree 2017/2018 tayari zimetoka?
Unadhani ni kwa nn?Kama unalisemea UDSM kuwa na kozi za Diploma, hiyo haipo. Ni kuanzia Degree mpaka PhD.
Kama unalisemea entry ya diploma kusoma Degree, UDSM ni nadra sana kuchukua watu wa Diploma. Mara nyingi wao huchukua Wale 'pure from School'. Namaanisha, wale waliotoka kidato cha sita. Ni mara chache sana hutokea UDSM wakachukua waliopitia Diploma.
Sio kweli kuna Diploma ya Computer scienceKama unalisemea UDSM kuwa na kozi za Diploma, hiyo haipo. Ni kuanzia Degree mpaka PhD.
Umechanganya madesaKwa uelewa wangu kuna certificate na deploma ya IT and computer science kwenye kile kitengo cha computing center na pia kuna certificate of law kwenye faculty ya law kwa hizo nyengine sijackia bado
Si dhani kama uko sawa mkuu kwenye hili. UCC ni kitengo cha UDSM hivyo ni part ya UDSM lakini ki taaluma haiko chini ya Senate. Wenyewe wanasema "The University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC) is leading Information and Communications Technology (ICT) Company owned by the University of Dar es Salaam (UDSM)".Umechanganya madesa
UCC sio part ya UDSM
Diploma inayotolewa na UDSM ya Computer science ipo chini ya COICT
UCC ni mradi wa UDSM lakini sio kitengo kwa maana sio college,sio insitute wala sio centre iliyopo kwenye organization ya UDSMSi dhani kama uko sawa mkuu kwenye hili. UCC ni kitengo cha UDSM hivyo ni part ya UDSM lakini ki taaluma haiko chini ya Senate. Wenyewe wanasema "The University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC) is leading Information and Communications Technology (ICT) Company owned by the University of Dar es Salaam (UDSM)".
.Umechanganya madesa
UCC sio part ya UDSM
Diploma inayotolewa na UDSM ya Computer science ipo chini ya COICT
Kiutawala kampuni ya UDSM ni kitengo cha UDSM na watakuwa wanawajibika kwa Baraza la Chuo kupitia board yao (labda kuwe kuna ile michezo yetu, nakumbuka kuna chuo cha nchi jirani walianzisha kitu kama hiki, lakini wakubwa ndo wakajipa shea huku wakitumia jina na mali za chuo kuendeshea kampuni hiyo). Hawa wana prospectus yao.UCC ni mradi wa UDSM lakini sio kitengo kwa maana sio college,sio insitute wala sio centre iliyopo kwenye organization ya UDSM Ndio mana huwezi kuikuta kwenye prospectus
Nina madogo wawili wamemaliza diploma ya GEOLOGY wanachukua degree sasa pale UDSMKama unalisemea UDSM kuwa na kozi za Diploma, hiyo haipo. Ni kuanzia Degree mpaka PhD.
Kama unalisemea entry ya diploma kusoma Degree, UDSM ni nadra sana kuchukua watu wa Diploma. Mara nyingi wao huchukua Wale 'pure from School'. Namaanisha, wale waliotoka kidato cha sita. Ni mara chache sana hutokea UDSM wakachukua waliopitia Diploma.
Vyuo vinatakiwa kutoa nafasi kwa wahitimu wazuri wa diploma kupata udahili wa masomo ya degree. Ni jukumu la TCU kuhakikisha hili linatokea ili NQF (National Qualification System) ifanye kazi. Huo hapo juu ni mfano mzuri.Nina madogo wawili wamemaliza diploma ya GEOLOGY wanachukua degree sasa pale UDSM
Nina madogo wawili wamemaliza diploma ya GEOLOGY wanachukua degree sasa pale UDSM