Msaada wadau pls naomba sana mnisaidie waungwana na wasomi kuhusu hili

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,620
Mimi nilifanya mtihani wa form six kwa combination ya HKL nilipata division three but o level Nina c ya physics ,C, chemistry ,D ,ya biology ,civics ,B, English ,C, na mengine D , math ,F , ninataka nifanye mtihani wa form six kwa PCB , nifanye kama private candidate je ? Naruhusiwa ?? Na necta ??
 
Chuo hujapata??? Kama hkl umeruka na three unajua msuli wa pcb kwel???,,,,,achana na pcb nenda vyuo vya afya huta jutaaa,,,,,pcb private candidet sio rahis kufauluu
 
Yeah unaweza huwa hawaangalii kubalance kombi kusoma PCB wanaangalia idadi ya credit tu..ila msuli wa PCB private candidate utauweza..mana kama hkl ulipata 3..pcb utapata div 6 kabisa
 
Yeah unaweza huwa hawaangalii kubalance kombi kusoma PCB wanaangalia idadi ya credit tu..ila msuli wa PCB private candidate utauweza..mana kama hkl ulipata 3..pcb utapata div 6 kabisa
Je necta hawatagoma mkuu ? Kunipa usajiri wa kufanya PCB wakati nilifanya awali hkl ?
 
Kasome kozi za afya kwa ngazi ya certficate kwa kutumia matokeo ya o level, mafacult ya sanaa ni pasua kichwa sana kwenye ajira now days
 
Yeah Necta wanaruhusu ufanye mtihan wwte ule hakuna tatizo..ila kama mgambo ulishindwa jesh utaweza??.Honestly PCB sio mchezo..hasa ukiwa una risiti ndo balaa kabisa
 
Back
Top Bottom