Mkopo kwa wanaorudia pepa high level

Mkopo kwa wanaorudia pepa high level

Mwambie asome afaulu kwanza ...mkopo heslb ni bahati ya mtu ,wenye vigezo n weng sana serikali haina pesa za kutosha kuwapa wote so ina kuwa randomly loan allocation .....akibahatika sawa
 
Mshawishi kwa Kadiri uwezavyo mkuu, ku reset form 6 PCM ni gambling....!Hakuna uhakika wa moja kwa moja kwamba atashinda kwa hayo masomo...!Mifano ipo mingi sana kwa watu waliokuwa wanaweza hayo masomo, mitihani walifeli na ku reset pia waka Fail....!mwambie asipoteze muda, achukue tu diploma miaka 2 na baadae achukue bachelor...!
 
Back
Top Bottom