Ivi kuna ukweli gani kuhusu
2x1=2
Na
2×0=0
Naomba msaada
Kwel mm siwez kaz ya kufundsha kabsaa,mm huwa napanic mtu akiniuliza swala complicated kama ilo.,,,asantee nais kaelewaWeka hiyo dhana yako katika vitu halisi,umeenda bustani mara mbili,mar ya kwanza umechuma chungwa moja ukaenda nalo kwako,na mara ya pili umechuma chungwa hilo hilo moja ukaenda nalo kwako je utakuwa na machungwa mangapi,
Hii ya pili umeenda mara mbili bustani lakini hukuchuma chungwa lolote je utakuwa na machungwa mangapi
Tuwaachie wnye fani zaoKwel mm siwez kaz ya kufundsha kabsaa,mm huwa napanic mtu akiniuliza swala complicated kama ilo.,,,asantee nais kaelewa
Chungwa 1 utalichumaje mara 2?Weka hiyo dhana yako katika vitu halisi,umeenda bustani mara mbili,mar ya kwanza umechuma chungwa moja ukaenda nalo kwako,na mara ya pili umechuma chungwa hilo hilo moja ukaenda nalo kwako je utakuwa na machungwa mangapi,
Hii ya pili umeenda mara mbili bustani lakini hukuchuma chungwa lolote je utakuwa na machungwa mangapi
[emoji3][emoji3] hesabu ni upuuzi mwingineChungwa 1 utalichumaje mara 2?
Tatizo sio namba..!makadirio ni nature na alama si tatizoLabda tujiulize pia kwanini "mbili" iandikwe hivi "2" nasio "0"
Je kwa mfano tukiinterchange mbili iandikwe "0" na zero iandikwe "2" tunaweza kuendelea na mfumo wa hesabau wa sasa au kila kitu kitakuwa kimevurugika na tutaanza upya???!
2×1 maana yake 2 zikiwa moja unapata ngap.. Then hivyo hivyo 2×0 maana yake 2 zikiwa sifuri unapata ngapi?? usipende kufikiria kivivu namn hyo kila kitu kina sabab zake havikuwekwa tuu..Ivi kuna ukweli gani kuhusu
2x1=2
Na
2×0=0
Naomba msaada
Kwanini kuku ukimchinja anakufa?Ivi kuna ukweli gani kuhusu
2x1=2
Na
2×0=0
Naomba msaada