Nahitaji Salary Slip

Tumia ile link ya salary slip portal ndo iko vizuri, ile ya watumishi portal slip zake hazikubaliwi popote kwa sababu hazina mwaka wa kustaafu Chief.
 
utumishi hawatoi tena,ingia website ya wizara ya fedha utaweka details zako after 24 hrs inakuwa active account yako unapata huduma 24/7
 
Back
Top Bottom