Eti mfamasia na clinical officer

Unataka mshahara au unataka ujuzi? Ndugu pata ujuzi mengine yatakuja in progress ukitia nia na juhudi
 
mm ni mwanafunz nliohitimu elimu ya sec. mwak jana naomb ushaur,clinical officer na pharmacy kw sasa ipi inalipa?, yaan kimshahara..........
Pharmacy diploma au degree? Kama ni degree pharmacy haina mshindani haya MD cha MTOTO! Lakini kama ni diploma nenda clinical officer inalipa zaidi katika maisha japo mshahara ni sawa!
 
Bora we umekuja na uelewa ngoja niongezee hapo hapo kati ya nessy ya diploma na clinical officer diploma IPI ambayo inalipa ktk mshahara pia IPI ambayo inanafasi kubwa kuajiriwa either gavern or private....??
 
weka ufaulu wako kwanza unaweza kuwa na ndoto halafu huna sifa
 
Bora we umekuja na uelewa ngoja niongezee hapo hapo kati ya nessy ya diploma na clinical officer diploma IPI ambayo inalipa ktk mshahara pia IPI ambayo inanafasi kubwa kuajiriwa either gavern or private....??

Diploma zote za afya zinalingana mshahara serikalini
 
Bora we umekuja na uelewa ngoja niongezee hapo hapo kati ya nessy ya diploma na clinical officer diploma IPI ambayo inalipa ktk mshahara pia IPI ambayo inanafasi kubwa kuajiriwa either gavern or private....??
kwhiyo unanishaur niende wapi??bro
 
Kwa ufaulu huo diploma yoyote ya afya utaisikia tu kwenye bomba labda ukasome community healh ngazi ya cheti.
Diploma afya ufaulu lazima uwe na alama C kwa masomo ya fizikia,kemia,na biolojia.
Vingnevyo uanze na cheti baadae uunganishe diploma.
 
ndio nataka nifanye hivyo nianze na ngazi ya cheti then nikachukuwe diploma
 
Kwa ufaulu huo diploma yoyote ya afya utaisikia tu kwenye bomba labda ukasome community healh ngazi ya cheti.
Diploma afya ufaulu lazima uwe na alama C kwa masomo ya fizikia,kemia,na biolojia.
Vingnevyo uanze na cheti baadae uunganishe diploma.
Je ni chuo gani kinzur kwa kuandaa clinical officer wanzur cha gavern bila kujal mkoa gan ni je kozi hyo una ugumu gani na nispecialist kwa nn
 
Back
Top Bottom