species
Member
- Jun 13, 2015
- 42
- 9
Wanajamvi habari za jioni napenda kupata kiini cha migogoro hasa shule za sekondari zenye walimu wa kike na kiume na unakuta mwalimu anapokuona umeteleza mahali anatumia hayo madhaifu yako kukuchafu hata kukutisha kwa vijembe vya ajabu kama tu mlikosana mahali. Karibuni