Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026, Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Baraza la Mahusiano ya Kitamaduni la India (ICCR) unatangaza ufadhili wa masomo kwa raia wa Tanzania wanaotaka kusoma...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Anonymous
Wakuu, Heri ya mwaka mpya 2024. Barua hii ni taarifa kuhusu ubora wa elimu inayotolewa katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kwa ufundishaji na utoaji wa masomo ya Shahada za elimu zenye...
17 Reactions
72 Replies
8K Views
Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa...
2 Reactions
5 Replies
832 Views
Takriban wahitimu 20 wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM) kitivo Cha Elimu tuliohitimu mwaka wa masomo 2019-2020 hatujapatiwa vyeti vya kuhitimu Tumefatilia wanasema changamoto ni matokeo ya mwaka wa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
You know when conducting research and you reach the stage of data collection, as a researcher, unakuwa na uwanja mpana wa kuamua njia ipi utumie. Should you go for primary data, secondary data, or...
1 Reactions
0 Replies
328 Views
Wadau, Nimeomba nafasi ya kusoma katika chuo cha ku-operate mitambo mikubwa pale kijitonyama dsm na nimepata nafasi, mtihani unakuja ktk soko la izo fani baada ya kumaliza kozi yangu ya miezi...
4 Reactions
27 Replies
16K Views
Naomba kufahamu tofauti kati ya Diploma na Ordinary Diploma! Je! Alafu mwenye Ordinary Diploma anaweza kuendelea na Chuo kikuu through ''direct entry''? Ni hilo tu wadau, msaada wenu plz!
0 Reactions
30 Replies
15K Views
Utafiti wa Wizara ya elimu unaonesha kwamba kumekuwa na Wimbi kubwa la Wanafunzi Kukacha Kidato Cha 5 na 6 badala yake Kujiunga Vyuo Vya Elimu vya kati ngazi ya Diploma. Kwani Kuna nini huko...
22 Reactions
229 Replies
23K Views
Waungwana nisaidieni nini nafasi za Advanced Diploma tunapokwenda katika soko la ajira la Afrika mashariki. Je Advanced Diploma ni sawasawa na digeree ya kwanza, je ni mfumo kutoka nchi gani...
0 Reactions
48 Replies
17K Views
Kutokana changamoto zinazojitokeza katika usimamizi wa elimu katika shule za msingi na secondary hapa Tanzania wanafunzi wengi wamekuwa wahanga wakubwa wa vifo na ulemavu wa kudumu...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Mi bado na kazia tu wasomi waende VETA. Miaka ya nyuma ilikuwa kazi sana na wasomi UDSM ambao waliamini maarifa na taarifa zipo sehemu moja ambayo ni chuoni na vitabu vilivyomo hapo tu. Hata hapa...
1 Reactions
0 Replies
220 Views
Mimi Ninasoma Program language ya PHP Na kwangu imekua rahisi sana kuielewa. ila Kwa sasa naona kuna language nyingi za programming Mfano:Phython,C++,C#,Java, Javascript,Golang Na Nyingine nyingi...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Wadau na wana familia wa JF , naombeni msaada kwenye hili. Naomba kujua chuo gani hapa tanzania kinatoa kozi ya radar engineering ngazi ya degree.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Medicine & Surgery. 2. Computer Science & IT – 3. Law 4. Engineering (Mechanical, biomedical, Electrical, etc.) 5. Education. Ongezea za kwako!
20 Reactions
244 Replies
11K Views
In this article we are going to discuss various styles of management used by managers and leaders to manage and lead their teams or groups. What is management styles? Management styles refers to...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
1. University of Dar es Salaam 2. Sokoine University 3. Nelson Mandela African Institute 4. Mbeya university 5. Catholic university of Health 6. Mwenge Catholic University 7. Moshi Cooperative...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa nini Utambuzi wa UNESCO Muhimu? Vyeti kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwa na UNESCO vinakubalika kote duniani. Waajiri mara nyingi huthamini sifa kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwana unesco...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Hbr za wakti huu wadau,naomb mnielimishe na kunsaidia kweny hli,Je kuna tofaut yeyte ya mtu anaehitimu degree chuo cha taasisi na chuo kikuu? Yani mfano Anaehtimu Degree kwa GPA kubwa UDSM na...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa ambae anasoma ichi chuo nakuomba tafadhali
1 Reactions
4 Replies
398 Views
Fursa ya Kusoma: Master ya Uongozi wa Ubunifu Afrika!
0 Reactions
1 Replies
308 Views
Back
Top Bottom