Kababrah
Member
- Dec 14, 2016
- 50
- 39
Mimi Ninasoma Program language ya PHP Na kwangu imekua rahisi sana kuielewa.
ila Kwa sasa naona kuna language nyingi za programming Mfanohython,C++,C#,Java,
Javascript,Golang Na Nyingine nyingi.
Je kuna utofauti labda Au Hata nikiendelea Na PHP ni sawa tu Maana wengine Huikimbia Wakidai Ni Ngumu Mno.
please Naombeni Ushauri Wana JF.