Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mathematics is very sweet if you known to calculate,recall this for moment.
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Nimezoea kuona watu kwenye field ya Academia wakiwa wanapata promotion ya kutoka Udokta na kuwa Associate Professor ambapo baadae atakuwa Full Professor. Vigezo ambavyo nimezoea kuviona...
2 Reactions
18 Replies
996 Views
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu. Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift? Ada...
15 Reactions
94 Replies
4K Views
Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 . Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Calvin Marambo mhitimu wa Ilboru sec 2014 ambaye alipata scholarship havard university kwa sasa anafanya kazi kwa bilgate na ni marafiki wakubwa ,wazungu wanamkubali sana pesa nje nje kwa sasa.
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba msaada wa mawasiliano kwa mwanafunzi anayesoma ST JOSEPH UNIVERSITY OF TANZANIA kwa kozi ya computer science, anicheki dm kuna kitu naomba anisaidie Natanguliza shukrani
4 Reactions
3 Replies
411 Views
CAREER SPECIALIZATION, PROFESSIONAL GROWTH, AND MARKET VALUE The world has changed significantly, and no one will value your education (profession) alone. Employers today do not hire based solely...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nakuja kwenu kuomba msaada wa jinsi ya kujiunga na chuo cha SHERIA, LAW SCHOOL OF TZ. Mambo ninayohitaji kuyafaamu ni 1. Kama naweza kusoma online 2. Gharama za kujiunga, ada na mahitaji...
1 Reactions
2 Replies
651 Views
Introduction Education is the heartbeat of a nation’s progress. It is the foundation upon which we build our economy, empower our citizens, and shape our future. In Tanzania, both public and...
1 Reactions
0 Replies
802 Views
Hawa mapacha Daniel na Zakayo walisumbua sana hapo St Joseph Millennium mpaka pale alipohamia Simon Mbangalukela na kusambaratisha utawala wao japo haikuwa kizembe. Mbanga alikuwa anajua sana ila...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau mie nimetokea sana kumpenda huyu kinara wa tanzania wa matokeo ya form 6 FAITH P ASSENGA Nataka mawasiliano nayo.
4 Reactions
50 Replies
12K Views
Fungua www.necta.go.tz kuyaona!
1 Reactions
42 Replies
8K Views
kwa wale wanaodhani kua zile herufi za mwisho kwenye matokea ya o level ni grade ya mkopo sio sahihi.Kama ukiangalia matokeo ya watu wengi o level hayaja kamilika sababu ile space ni too short...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
BARAZA la Mtihani la Taifa(Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yanaonyesha kuwa asilimia 53.59 ya wanafunzi 426,314 waliofanya mtihani huo wamefaulu...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa waliosoma Alpha high school 2012-2014 bila shaka watakuwa wanafahamu balaa la hawa jamii wawili Sunday Mwakipagala na Henry Mwinjoge ambao walikuwa wanasoma EGM. Jamii walikuwa wanapiga...
11 Reactions
119 Replies
4K Views
Mwaka juzi (2016), Chama cha Hisabati Tanzania (CHAHITA / MAT) kilitimiza miaka 50 na kuchapisha muhtasari ya mafanikio yao kipindi hicho. Kwenye hilo chapisho (MAT Bulletin 2016) kuna orodha ya...
3 Reactions
31 Replies
10K Views
Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
1 Reactions
11 Replies
11K Views
👉🏾Zamani, mfumo wa elimu ulikuwa ni piramidi (pembe tatu), wengi walianza na elimu ya msingi, baadae sababu kama kukosekana kwa msukumo wa elimu,utoro,mazingira,kufeli waliishia darasa la saba...
3 Reactions
2 Replies
347 Views
Back
Top Bottom