Visawe ni maneno yenye maana sawa
Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
4.Azma=Makusudio
5.Binti=Msichana
6.Chakula=Mlo
7.Chanzo=Sababu
8.Cheti=Hati
9.Chuana=Shindana...
Guys nina plan ya kusoma PhD nje ya nchi lakini nikitegemea zaidi nipate udhamini.
Ningependelea kusoma nchi za ulaya au America kutokana na quality ya elimu yao pamoja na fursa, haswa Nordic...
Habari wana JF
Hope mko poa wote, leo nimeandaa hii thread itakayokuelezea umuhimu wa kuwa na portifolio badala ya kuwa na CV kwenye kutafuta kazi mbali mbali
Kwanza kabisa inabidi utambue ya kuwa...
Habari Wana Jf
Mim Ni Student Wa A Level Form 5 Naingia 6.Nasoma HGL, malengo yangu ni kusoma Public Administration UDSM next year.
Naombeni Mnipe Mwongozo Juu Ya Malengo Yang Coz I Admire It So...
Bachelor of Arts in Public Administration :
Program description
Students pursuing a Bachelor of Public Administration (BPA) degree will develop leadership, analytical, organizational...
PUBLIC NOTICE ON ADMISSION STATUS INTO HIGHER TRAINING INSTITUTIONS 2014/2015
Central Admission System (CAS) opened on 8th April 2014 and closed on 31st August 2014. A total number of 17,087...
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru.
Asante kwa msaada wako
Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na shahada za vyuo vikuu, pendekezo la...
Yaani serikali ina nia nzuri tu. Ila watu wake wanatuletea usumbufu. Huu mfumo wa sis.tamisemi.go.tz una wavuta wanafunzi kutoka prems hawaji na unakuandikia success
Yaani sielewi elewi
Habari wakuu nina changamoto ya nida majina yangu yanatofautiana jina la mwisho lakin mimi ni mtumishi nikienda kuapdate taarifa bank wanasema NIDA ina majina tofauti na bank kwa sababu ya jina...
Nimepata nafasi ya kuchaguliwa na vyuo viwili hapa Tanzania chuo cha kwanza nimepangiwa kusomea civil engineering na chuo cha pili nimepangiwa kozi ya computer engineeringi.
Wana JF nipeni...
1. TO BE HUMBLE PERSON ( kuwa mtu mnyenyekevu na mwadilifu ).
Katika mafunzo ya "dao - self defense system" kuna kanuni tano za kujilinda ambazo ni lazima kila mwanafunzi wa DAO ajifunze...
Kipindi nachaguliwa pale Open University nilikuwa najua kuna utaratibu mzuri na kueleweka katika ku-handle vitu vingi vya academic hasa hasa niliposikia asilimia kubwa ya vitu vinafanywa online na...
Baadhi ya Wanafunzi zaidi ya 150 hadi 180 hadi leo hawajapatiwa fedha zao za ‘boom’ la Kwanza (Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), walicheleweshewa boom mpaka ikafika wakati wa...
Hello habari za majukumu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa.
Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..
Ukienda...
HESLB hawatutakii mema hata kidogo haiwezekani moaka leo hii mwezi umeisha lakini hamna pesa ya kujikimu mfano mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma nimefuatilia pesa lakini majibu ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.