Kichwa cha habari chahusika.
-Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa kufunga mahesabu kitaalam,anayejua kutumia accounting packages na kila kinachohusiana na uhasibu kimatendo ( practically)
-Awe...
Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji.
Hii shule inamilikiwa na nani?
Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala...
Habari wakubwa, natumai mko vizuri,
Niende Moja Kwa Moja kwenye maada, nilikuwa naomba Kwa wale wadau wa elimu wanisaidie nifahamu topics za Biology, Chemistry na Physics hasa Kwa Form five...
Imepita miaka takribani 12 sasa, tangia Tanzania ilipapata kumshuhudia mwanafunzi aliyeshindikana katika maswala ya Elimu hapa namzungumzia,Tanzania One (2006) Elias Kihombo katika matokeo ya...
Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti
Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji...
Nmeomba mkopo wa chuo kikuu ni mwaka wa tatu Sasa sijafanikiwa kwenda chuo. Kwasababu ya kukosa mkopo. Je ni njia gan nitumie niweze kupata mwaka huu? Au ni vizuri nikajiunge na vyuo vya kati...
Suala la lishe ni muhimu sana, lakini naona mpango wa chakula cha mchana kutolewa kwa wanafunzi inaendelea kubaki kuwa changamoto. Mtoto anatoka nyumbani saa 12/1 asubuhi anarudi saa 10/11 jioni...
Habarini za Wakati huu wanataaluma. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kupatiwa uelewa wa kina kuhusu ngazi hii ya elimu hasa katika vyuo viliyopo chini ya NACTVET. Natanguliza shukrani...
Kila baada ya siku 60 mnufaika wa mkopo wa bodi ya mikopo HESLB inabidi apewe pesa ya kujikimu na chakula shilingi 10,000 kwa siku lakini mpaka leo naandika uzi huu hakuna mwanafunzi hata mmoja...
Haiwezekani sisi wengine vitu vinakuwa vigumu kufanyika kwetu. Ishu ya mitihani kupotea ni jambo la kawaida sana pale chuoni, ishu ya kusahihishwa mitihani kwa muda mrefu hata miezi miwili...
Hivi karibuni, kuna jambo moja ambalo vijana wengi wanaanza kugundua—cheti chako cha chuo si tiketi ya moja kwa moja kupata kazi.
Unaweza kuwa na GPA ya 4.8 lakini bado ukakaa nyumbani bila...
Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia.
Katika...
Happy thursday
Leo nimekuletea hii story ambayo kwa asilimia kubwa itawahusu watu wanaojivuta au kuogopa kufanya kitu kwa sababu mbali mbali kama vile kuogopa maneno ya watu n.k
Sasa tuanze...
Kabla hujatuma CV yako, huwa unakumbuka kuongeza ukurasa wa uthibitisho wa wasifu i.e. CV Verification Page?
Na kwanini ni muhimu uthibitishe CV yako kabla hujaituma?
Hebu tuangalie kwa kina...
Kwa miaka mingi pengine tangia awamu ya tatu, masomo ya sayansi yamekuwa na ufaulu usio mzuri kutokana na ukosefu wa waalimu
Ukifuatilia huko shule za Msingi hawana waalimu wa Hesabu, sekondari...
Y
WARAKA WA WANAFUNZI WA ELIMU JUUKWA SERIKALI KUHUSU MIGOMO NA MAANDAMANOYA MARA KWAMARA VYUO VIKUU HAPA NCHINI.
Tunapenda kuchukua fulsa hii kwanzakuomba msamaha na...
Habari za saizi
Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana, amefanikiwa kupata division two, yeye anataka akasome diploma ya physiotherapy na ili asiende advance anasema itakuwa ngumu...
Mwalimu mmoja, idara msingi anataka kutorka kazini aende masomon kuchukua shahada baada yakuomba ruhusa nakunyimwa na mkuu wa idara wakati kuna wengne wanamwaka mmoja kazini lkn wanapewa ruhusa ya...
Wakuu habari.
Mwanangu ameingia class 4 mwaka huu. Ila shule aliyopo imekuwa na mwenendo mbaya, kiasi kwamba kwa mwaka 2023 na 2024 wazazi wanaojitambua wamehamisha sana watoto wao. Sasa huyu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.