Msaada ndugu zanguni tafadhali
Habari za mchana,
Naomba moja kwa moja niende kwenye tatizo,nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka jana 2017,na ufaulu wake ulikuwa hivi
Kiswahili C...
*KESI YA NIDHAMU MTOTO WA PROFESA*
Mtoto katoroka shule kurudi akakamatwa na baada ya kumchunguza ikaonekana mtoto kalewa kumaanisha alitoka kunywa pombe.....
Kikao cha nidham kikaridhia kumpa...
RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY (RUCU)
FORMER RUAHA UNIVERSITY COLLEGE (RUCO)
IRINGA
APPLICATIONS FOR ADMISSIONS INTO DIPLOMA AND CERTIFICATE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2018/2019.
Ruaha...
Habari wanaJF,
Mimi ni kijana wa Kitanzania niliyeona uhitaji wa mafunzo na elimu ya kawaida ya computer katika jamii yetu na technologia zake au TEHAMA.
Nimeanza kutoa mafundisho ya kawaida...
Naomba kwa yeyote anayejua sehemu wanapofundisha Accounting Packages hasa Quickbook anisaidie kwani nina hitaji ya kujifunza kwa haraka tayari kwa kuifanyia kazi ambayo nipo nje ya muda.
Naomba...
Kwa Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Mchepuo wa PCB matokeo physics>D , chemistry>S, Biology>D , Bam>F ,G/s> S . Naomben Mchango wa mawazo juu ya Akasomee Faculty gan Kwa ngaz ya Degree ? NAOMBA NA...
Baraza la mitihani NECTA hawajatupatia vyeti vya matokeo vya kidato cha nne kwa wale waliomaliza kidato cha nne mwaka 2016.kila tukifuatilia tunapigwa sound. Wanasema vitatumwa kwenye shule zetu...
Wakuu,
Mimi nilichaguliwa UDSM course ya TEXTILE DESIGN ila sikuikubali kiufupi nikahamia DIT kusoma LABORATORY.
Sasa mkopo wangu umehama fresh ada na kila kitu nilikuwa naomba muongozo kwa...
Habari za kazi na majukumu mbalimbali wana jukwaa naomba kufahamu ikiwa form six amepata division three kwa comb ya CBG anaweza soma course zipi kwa ngazi ya stashahada naomba msaada wenu
Jamani mwenye uelewa na tangazo hili anisaidie. Sijaelewa vizuri. Admission hii ni kwa waliomaliza form, 4 2017 ambao matokeo yametoka juzi? AU ni ya last intake sasa wanajazia mashimo ie...
Wadau naombeni kunijuza application ya kozi za uuguzi kwa vyuo vya serikali kunaanza lini maana ile round ya mwezi wa nne haikuhusisha vyuo vya government.
Natanguliza shukurani.