Ukisoma VETA unawezaje kwenda kusoma diploma?

Ivan mapalala

JF-Expert Member
Feb 3, 2017
285
103
Natumaini mu wazima wanaJf niende 1kwa1 kwenye topic
Ukisoma veta unawezaje kuendelea kusoma hadi diploma samahan naomba mnijuze
 
Ukifika VETA kuna vitu vinaitwa NTA kila NTA ina Level yake. Ukitia bidii huko ktk masomo na kufanya vizuri inakupa fursa ya kwenda NTA Level nyingine na kuingia Chuo Kikuu kama kawaida. Kama unaenda VETA kupga fani we nenda yote utayajua huko.
 
Ndio unaweza kuendelea utapitia level 1 ,2,3 ndio utakwenda NTl 4 means basic technician na kuendelea hadi degree
 
Diploma ya kitu gani? Maana kuna vyuo na vyuo, inategemea unataka kusoma kitu gani. Kwa vyuo vya ufundi ambavyo ni DIT, TCA, MUST na Chuo cha maji, lazima uwe ulifaulu physics na mathematics O level angalau kwa alama D
 
Motor vehicle mechanics
 
Ukifika VETA kuna vitu vinaitwa NTA kila NTA ina Level yake. Ukitia bidii huko ktk masomo na kufanya vizuri inakupa fursa ya kwenda NTA Level nyingine na kuingia Chuo Kikuu kama kawaida. Kama unaenda VETA kupga fani we nenda yote utayajua huko.

Kama huna form four Ajira Serikalini utazisikia Azam two
 
Ila na cheti cha form four uwe nacho chenye atleast pass za D nne hiyo diploma unapiga na tutakukuta chuo vyema na utaalamu utakuwa umekomaa vyema.

QUOTE="NZURI PESA, post: 21138198, member: 40141"]NI SAFARI NDEFU SAANA UNAANZA LEVEL 1 HAD 3 CHETI
4&5 DIPLOMA[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom