Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
Wanandugu n kwanin baadh ya masomo ni ya lazima shulen lakn mengine ya kuchagua?
Mchango wenu n muhimu wa haraka haraka!
Mchango wenu n muhimu wa haraka haraka!
Ahsante sana kwa mchango wako mkuuNi kutokana na Umuhimu wake katika maisha. Matharani Civics kwa O-level na GS -kwa A-level, haliwezi kuwa Somo la Option hata siku moja. Aidha Hesabu, Biolojia, Kiswahili, Haiwezekani yakawa ya Option.
BIOLOJIA SHULE SIE TULIKUWA TUNAFANYA OPTION UKIFIKA FORM THREENi kutokana na Umuhimu wake katika maisha. Matharani Civics kwa O-level na GS -kwa A-level, haliwezi kuwa Somo la Option hata siku moja. Aidha Hesabu, Biolojia, Kiswahili, Haiwezekani yakawa ya Option.
Science ni lazima usome chemia na fizikia o Levo.BIOLOJIA SHULE SIE TULIKUWA TUNAFANYA OPTION UKIFIKA FORM THREE