Naomba kufahamishwa, ukipata division three CBG unaweza kusoma kozi zipi kwa diploma?

Chakabuzi

Member
May 15, 2018
7
1
Habari za kazi na majukumu mbalimbali wana jukwaa naomba kufahamu ikiwa form six amepata division three kwa comb ya CBG anaweza soma course zipi kwa ngazi ya stashahada naomba msaada wenu
 
Mkuu chuo na College watu wanaingia kwa pointi na sio division. Inabidi kujua masomo ya combi umepiga vipi, vinginevyo hutapata ushauri mzuri.
 
Matokeo yako hivi GEOGR=D,CHEMISTRY=D,BIOLOGY=E NA BAM=F
Kwa matokeo hayo una point 5 hata chuo kikuu waweza omba. Hebu ulizia SUA kwani CBG inaendana sana na kilimo.
Unaweza pia kuangalia TCU Admission Guide ya Mwaka wa Jana utaona degree zinazo endana na hiyo combi kama bado unataka diploma angalia Admission Guide ya NACTE ya mwaka jana kwenye website yao.
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako ngoja nifuate mwongozo wako
 
Back
Top Bottom