Wapi nitaweza kujifunza accounting package-quickbook

Wapi nitaweza kujifunza accounting package-quickbook

Farudume

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
3,946
Reaction score
3,691
Naomba kwa yeyote anayejua sehemu wanapofundisha Accounting Packages hasa Quickbook anisaidie kwani nina hitaji ya kujifunza kwa haraka tayari kwa kuifanyia kazi ambayo nipo nje ya muda.

Naomba sana msaada wenu.
Centre iwe Dar es Salaamu na muda uwe jioni.
Nikijua na Gharama itasaidia zaidi.

Natanguliza Shukrani.
 
Nenda Computer Skills, wanapatikana Makumbusho Business Complex 2nd floor au piga simu 0717718519 au tembelea www.comskills.co.tz
 
Back
Top Bottom