maforce
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 681
- 652
*KESI YA NIDHAMU MTOTO WA PROFESA*
Mtoto katoroka shule kurudi akakamatwa na baada ya kumchunguza ikaonekana mtoto kalewa kumaanisha alitoka kunywa pombe.....
Kikao cha nidham kikaridhia kumpa suspension ya wiki mbili hvyo mzazi akapewa taarifa kua mwanaoamekutwa na kosa la kunywa pombe hvyo amepewa adhab ya suspension ya wiki mbili.... Mazazi kwa njia ya simu hakuonesha kua na wasiwasi ila aliitikia tu kwamba ni sawa mrudisheni nyumbani
Kesho yake mwlm wa nidham akaambiwa ampeleke mtoto mguu kwa mguu hadi nyumbani kwao..... Kufika tu alikuta familia iko mezani kwa chakula baada ya kukaribishwa ndani....
*Cha ajabu ni kwamba yule kijana baada ya kuingia ndani alielekea kwenye friji moja kwa moja akachukua bia huku sauti ya mama yake ikimwelekeza chukua za juu maana hizo tumeweka t sasa hivi.... Huku baba naye akimwambia na mm niletee ya baridi*
Hapo mwalim alikua hajazungumza bado, kisha mzee sasa akamwambia *"Mwalimu karib mezan sijui na ww unapenda kinywaji gani"* Haya mwalm sijui ingekua ww ungeomba nn... Maji, soda, au na ww bia??
Huyu mwlm akasema hapana nshukuru labda tu maji... Mzee akasema hakunashida mletee mwlm maji....
Kisha mzee akamwambia nafikiri tulishaongea kwenye cm yote au kunalingine?
Mwlm akajib hakuna jingine ilikua ni kumleta tu huyu kijana.... Mzee akamwambia ok, hakuna shida atakaa wiki mbili kisha atakuja......
Mwlm akaaga akaenda zake.....
Swali..... Mwalm ungechukuliaje situation kama hii??
UKISIKIA UALIMU NI WITO SIO KWASABABU YA MSHAHARA MDOGO.... hata tulipwe milioni ualim n wito tu