Naweza kufutilia ili niongezewe pesa ya special faculty requirements?

Midozenj01

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
410
385
Wakuu,

Mimi nilichaguliwa UDSM course ya TEXTILE DESIGN ila sikuikubali kiufupi nikahamia DIT kusoma LABORATORY.

Sasa mkopo wangu umehama fresh ada na kila kitu nilikuwa naomba muongozo kwa anayejua hizi mishe kuhusu.

1.Pesa ya special faculty kule UD ilikuwa 85K so huku nukakuta 300K, Je inawezekana nikafatilia ikaongezeka?

Na kama possible nianzie wapi?

2.Najua hiki ni kama kijiji ningependa kujuzwa kwa wale ma LAB SCIENTISTS walotangulia vipi job zipo huko?

Ahsanteni naomba kuwasilisha.
 
Kwani hii pesa huwa inalipwa chuoni au unapewa kwenye akaunti yako?
 
Tanzania hakuna Chenye Ajira sa hivi we maliza kusoma ikitokea Umepata Zali lako ndo basi..
Ukitaka kujua wauulize Madaktari Waliomaliza miaka ya Bwana muheshimiwa Watakupa jibu
 
Hujamaliza shule ushaanza kuwaza ajira bila shaka ni kawaida yako kuchamba kabla ujanya kisha unasepa na mzigo wako.
 
Tanzania hakuna Chenye Ajira sa hivi we maliza kusoma ikitokea Umepata Zali lako ndo basi..
Ukitaka kujua wauulize Madaktari Waliomaliza miaka ya Bwana muheshimiwa Watakupa jibu
Umemuelewa mleta mada lakini?
 
Fatilia bodi ya mikopo, halafu vijana wa dar mngekuwa mkipata changamoto mnaenda moja kwa moja hapo makao makuu kuwasumbua ingependeza, maana mikoani wanafunga safari kuja dar!!! Wasumbueni wapo pale kwa kazi hiyo
 
Back
Top Bottom