NACTE: Public notice for March/April, 2018 admission cycle for academic year 2018/2019

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,700
Reaction score
103,703
Jamani mwenye uelewa na tangazo hili anisaidie. Sijaelewa vizuri. Admission hii ni kwa waliomaliza form, 4 2017 ambao matokeo yametoka juzi? AU ni ya last intake sasa wanajazia mashimo ie available slots?

17TH FEBRUARY 2018 22:44:07

PUBLIC NOTICE FOR MARCH/APRIL, 2018 ADMISSION CYCLE FOR ACADEMIC YEAR 2018/2019
Date Posted: 17th February 2018 22:44:07 Posted By: NACTE

THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION (NACTE)

PUBLIC NOTICE FOR MARCH/APRIL, 2018 ADMISSION CYCLE FOR ACADEMIC YEAR 2018/2019

This is to kindly inform that, the Ministry of Education, Science and Technology via its letter with Ref. No. HA.99/242/OVV012/45 dated 1st February, 2018 has blessed and directed the Council to coordinate admission for March/April, 2018 Intake for the academic year 2018/2019. The Ministry’s directive cancels our letter with Ref. No. AB. 8/175/01/102 dated 16th January, 2018 regarding March / April Intake for Academic Year 2017/2018.

Thus, all institutions with available slots and capacity to offer March/April Intake are now permitted to proceed with admission processes but observing the following conditions:

  • The institution shall have to ensure that all reported students for September, 2017 Admission Cycle (students of the 2017/2018 academic year) are enrolled in the NACTE system before submission of the selected applicants for March/April, 2018 Intake.

  • The admission of students is open from 20th February, 2018 to 30th March, 2018.

  • The selected applicants shall be submitted to NACTE for verification from 30th March, 2018 to 4th April, 2018. The submission process will be as it was done in September, 2017 Admission Cycle.

  • The names of verified selected applicants shall be submitted by NACTE to the respective institutions after verification by 10th April, 2018.
Please be informed also that institutions which were found with deficiencies following the nation-wide academic audit of all technical institutions conducted by the Council are directed not to admit students unless the identified deficiencies are rectified, and approval granted by the Council that indeed the deficiencies have been rectified to acceptable standards.

Please be informed further that, following the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children’s directive that there should not be March/April, 2018 Intake for Health and Allied Sciences programmes for this academic year, which was made via letter with Ref. No. JA 425/558/03F/30 dated 22nd November 2017, the March/April 2018 admission cycle shall exclude all institutions offering Health and Allied Sciences programmes.

Should you need further clarification, please do not hesitate to contact us.

ISSUED BY:
THE OFFICE OF THE EXECUTIVE SECRETARY

Date: 17th February, 2018
 
Kwa nilivyoelewa mimi ni kwa hawa waliomaliza 2017 na matokeo yao haya tunayoendelea kuyajadili
 
Asante, nimewatafuta NECTA nao hawajui wamesema nisubiri wahakikishe kama ni hawa wa juzi au ni wa zamani! Tutafahamishana. Asante kwa kujali.
Sasa ikifika September nani ata apply kama wa mwaka huu nao wata apply?
 
  • The institution shall have to ensure that all reported students for September, 2017 Admission Cycle (students of the 2017/2018 academic year) are enrolled in the NACTE system before submission of the selected applicants for March/April, 2018 Intake.
  • The admission of students is open from 20th February, 2018 to 30th March, 2018.
Nilivyo lielewa hilo tangazo: Hii ni kwa kila kijana mwenye matokeo haijalishi kama ni ya mwaka wa jana au hawa form4 waliopata majibu yao juzi. Anaetaka ana omba kama ilivyokuwa mwaka wa jana (ukiacha wale wanaotaka Afya na program ziendazo sambaba na afya yaani za kiafya (Health and Allied Sciences programmes). Dirisha litakuwa wazi February 20 hadi March 30.
Wanafunzi wote waliodahiliwa (September 2017) kuripoti vyuoni wanatakiwa waingizwe kwenye mfumo wa NECTA kabla majina ya watakaomba (Feb20-March 30) hayajapelekwa NACTE.

September kutakuwa na udahili mwingine-kwa mfano watakao kosa kwenda F5, watakao amua kutokwenda F5 kwa sababu moja au nyingine na watakao maliza F6, na watakao amua kwenda Diploma kutoka Certificate etc.
 
OK INAWEZEKANA. MBONA LKN MUDA WA KUDAILI NI MFUPI WAKATI ULE TUNAOUJUA WA UNAKUWAGA KAQMA MIEZI MIWILI.... JULY-SEPTEMBER. NGOJA TUSUBIRI HIYO DATE
 
hapo wananiacha njia panda certificate ipo mara mbili yaani NTA level 4 & and NTA level 5 na wote hawa walifanya udahili mwaka Jana je hawa wa NTA level 5 data zao nilikuwa vyuoni toka wakiwa NTA level 4 naona watahusika kwenye kufanya huo usajili
 
Muda wa kudahili umepungua kwani mwanzo walitoa tangazo kufuta huo udahili na sasa ndo wamegutuka na kusema wana ruhusu. Ki ukweli sijui nini kina endelea lakini ni wazi hawana policy inayo eleweka juu ya hili. Hivyo hopefully hizo siku kama 40 zitatosha kwa vyuo kufanya selection zao na kuzipeleka NACTE kwa verification. Watakao chelewa I assume watasubiri hadi Cycle ya September. Itabidi wajitathmini waje na policy inayofahamika.
 
hapo wananiacha njia panda certificate ipo mara mbili yaani NTA level 4 & and NTA level 5 na wote hawa walifanya udahili mwaka Jana je hawa wa NTA level 5 data zao nilikuwa vyuoni toka wakiwa NTA level 4 naona watahusika kwenye kufanya huo usajili
Hapa kuna kazi. Kuna system mbali mbali zinatumika. Vyuo vingi certificate ni mwaka 1 (level 4 tu). Kuna kama vya mifugo certificate inatolewa kwa level 4 na 5 pamoja. Technical Colleges za serikali (DIT, MUST, Arusha etc) wao ukiingia wanasema wanakudahili kwa diploma (Level 4-6). Hivyo kwa wale course zao zinazochukua mwaka mmoja (Level 4) inabidi wadahiliwe upya kupiga level 5 and 6 (Ordinary Diploma). Wale wa mifugo (waliomaliza level 4 and 5) wao watadahili upya wafanye Diploma (Level 6 tu).
 
sahivi vyou vingi washageuza mfumo NTA level 4 haina kazi ni kama msingi tu wa Yale utakayosoma NTA level 5 na wanaanza ajiri NTA level 5
 
Toa mfano nikuelewe. Natarajia kupeleka kijana mwakani lakini hilo unalosema sija kutana nalo.
 
mfano waliokuwa wanasomea maendeleo ya jamii au utendaji walikuwa wanaajiriwa Kwa certificate ya mwaka mmoja yaana NTA level 4 ila toka mwaka Jana wakageuza wanaanza ajiri wale waliopiga certificate ya miaka 2 yaani NTA level 5
 
Hii ni sawa na wale wa mifugo (mchango # 8 juu) lakini kuna program kama za IT bado wanapiga certificate ya mwaka mmoja (NTA 4), ukimaliza unaingia ordinary diploma (level 5 na 6) ukiacha vyuo nilivyotaja hapo juu wanaochukua dip (level 4,5, na 6 kwa pamoja.)
 
March intake sio ya form four wa 2017 bali ni form four wa 2016. Iyo system imeanza mwaka Jana March intake ila waliovyuo under nacte wanajua kuna verification ya mwanafunzi ambayo unatakiwa upewe registration number kutoka nacte iyo ni lazima chuo kiwasilishe nacte vyuo vingi avijawasilisha ndomana wamezuiwa kusajili March intake hadi wamalize kusajili walioko vyuo maana wengi awajasajiliwa. Ila March intake ni kwa wale waliomaliza 2016 Kama ilivyokuwa mwakajana waliomaliza 2015 ndo waliruhusiwa na system kuwa admitted
 
Asante, nimewatafuta NECTA nao hawajui wamesema nisubiri wahakikishe kama ni hawa wa juzi au ni wa zamani! Tutafahamishana. Asante kwa kujali.
Sasa ikifika September nani ata apply kama wa mwaka huu nao wata apply?
Kuna form six wengi wanakula mzinga lazima wata apply diploma
 
Hii wizara ya Afya inahujumu sana watanzania.Kozi za Afya zenyewe ni ndefu lakini wanataka watoto wetu waendelee kuwa mtaani hadi mwezi wa kumi,hii ni aina ya akili mgando.Watu conservative wanarudisha nyuma sana maendeleo ya watu.Kwa nini wasiruhusu watu waombe pia kozi za afya?
 
I second you......
Cadre zingine zote zimeruhusu but afya imekuwa ngumu na hawajasema tatizo nini haswa zaidi ya assumption kwamba idadi ya applicants hukuwa ndogo kwa April intake...

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni sawa na wale wa mifugo (mchango # 8 juu) lakini kuna program kama za IT bado wanapiga certificate ya mwaka mmoja (NTA 4), ukimaliza unaingia ordinary diploma (level 5 na 6) ukiacha vyuo nilivyotaja hapo juu wanaochukua dip (level 4,5, na 6 kwa pamoja.)
Wakifungua udahili tag me please!
 
Back
Top Bottom