Hello JF: nawasalimu wakuu, poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.
Nina mdogo wangu form four leaver, div IV points 29, anatamani sana kuwa mtangazaji/redio presenter, pamoja na kuwepo vyuo...
Salamu wadau wa jukwaa adhimu LA elimu hapa jf hivi kwanini elimu yetu haimuwezeshi MTU kujiajiri wengi tulidhani kwenda masomo ya sayansi ndo njia rahisi kuajiliwa lakini wengi wanaishia kuwa...
Habari ya mchana ndugu zangu,, Mimi no mwanafunzi was form six nmemaliza018, napatikana Tegeta mivumoni,,Kwa wazazi wrote walio karibu na maeneo haya, ningpenda kuwajulisha kuwa naweza to a huduma...
Kumekuwa na baadhi ya watu wamekua wakiibeza sana UDSM, wakati hata malecture wao, ma professor wao, ma doctor wao wamesoma UDSM, au walimu wa walimu wao nao pia wamesoma UDSM, lkn pia bila kujua...
Course gani ngumu na hukimbiwa na wengi chuoni inayohusiana na MTU anayechukua HGE....Msisite kuniambia maana nafanya ka research ,nataka kusoma course ngumu maana ndo itakuwa njia rahisi ya...
Habari Wasomi.
Naomba kufahamu juu ya kozi gani fupi au kozi ndefu katika vyuo ambayo unayoweza kusoma na kukupa ajira ya mapema zaidi hapa nchini?
Natanguliza shukrani zangu.
Wadau anayeifahamu hii shule kuanzia mazingira, malazi, chakula na taaluma ...na vigezo vya mwanafunzi wa kidato cha kwanza kuanza hapo. Natanguliza shukrani.
*TANGAZO TANGAZO*
Tunatoa huduma ya masomo kupitia online tuition, huduma hii inawalenga wale ambao hawapati muda wa kutosha kutokana na majukumu mbalimbali ya maisha, kupitia huduma yetu utakuwa...
Habari zenu wadau, mdau ana degree ya kwanza ya Bachelor of art with Education, specilized in linguistics and kiswahili, kaishafanya kazi mwaka wa tano huu sasa anataka kwenda kufanya masters ya...
Kwa wazazi au walezi wenye watoto ambao wana uhitaji watoto wao wasome masomo ya ziada (physics,chemistry, mathematics na biology ) tunapatikana riverside ubungo......
Kwa wanaorudia mtihan...
Habari za mda huu wana jamvii
Kama kichwa cha uzi kinavojielezea nilikua naulizia kama kuna anaefahamu chuo chochote cha serekali kinachotoa diploma in phamacy anijuze. Nitangulize shukran za dhat
Habari za mda huu wana jamvii
Kama kichwa cha uzi kinavojielezea nilikua naulizia kama kuna anaefahamu chuo chochote cha serekali kinachotoa diploma in phamacy anijuze. Nitangulize shukran za dhat
majina uhamisho yametoka! Jana usiku! lkn jina langu silioni na hata niliyebadilishana naye halioni natulikamilisha process zote Hadi mkoani! ninaomba msaada tafadhali nifanyeje naje kunayeyota...
Wapendwa wangu napata shida ku upload documents yaani barua na vyeti vyangu kwenye website ya OTEAS http://196.43.65.187
Naomba kwa yeyote mwenye namna ya kunisaidia maana kila nikijitahidi...
kwa waliosoma zamani kidogo hawatanielewa. kwa wanaosoma sasa watanielewa na wanaoshiriki ama kuchangia kulipa ada kwa wanafunzi wa vyuo kwa ngazi zote watanielewa.
katika vyuo vya umma na vya...
Nimefuatilia tafiti nyingi zinaonesha kwamba vikwazo vingi katika sekta ya elimu husababishwa na mambo yafuatayo:-
1) Umaskini
2) Kupata mimba
3) Mila na desturi
4) Upendeleo wa kijinsia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.