Unamaanisha uhandisi?je katika uhandishi
Huko mimi ngumbalu, tuwasubiri walioingia madarasaniengineering
Kwa mujibu wa sheria nimefuta ujingah
ata wew c umeingiaaaa darasani
Asome na entrepreneurshipLab technician, veterinarian, agricultur, research scientists
Serikali haikaweka mazingira rafiki kwa vijana kujiajirisamahani unafikiri ni mfumo wa elimu etu inafanya kuwa na wimbi kubwa la ukosefu ajira lashaaaa au ni kutojiongea kujiajiri,,,wakaati mwingine huna mtaji wa kujiendelea kiuchumi??
mekuelewa lakini pia misingi yetu ya elimu ambayo ni theory kwanza vitendo baadaye ,kwa staili hii kuajiriwa/kuajiriwa inabidi tusahau kidogo.... mtazamo wangu ingekuwa wahitimu wote wa kati/ juu wanapo hitimu waelekewe sehemu husika kwa ajili ya elimu ya vitendo/Serikali haikaweka mazingira rafiki kwa vijana kujiajiri
1. Likizo ya kodi
2. Mkopo wenye riba nafuu
Mentor wa juwaingoza katika miaka ya mwanzo
Wafanya biashara wakubwa watoe nafasi za apprenticeship kwa vijanamekuelewa lakini pia misingi yetu ya elimu ambayo ni theory kwanza vitendo baadaye ,kwa staili hii kuajiriwa/kuajiriwa inabidi tusahau kidogo.... mtazamo wangu ingekuwa wahitimu wote wa kati/ juu wanapo hitimu waelekewe sehemu husika kwa ajili ya elimu ya vitendo/
Soma medical lab science/ technology hutokuja kujuta nakuambiaukiachilia mbali udaktari/ualimu ni kozi gani yenye ajira ya moja kwa moja hasa kwa michepuo ya sayansi-?
Ukweli mchungu ni kwamba kwa sasa hakuna fani yenye ajira moja kwa moja hata huo udaktari, Ila tu kuna course zenye uafadhali pia unaweza kuangalia mazingira yako wapi unaweza kupata nafasi nzuri zaidi ya kuitumikia fani yako, mfano babu yako ana dispensary kasome udaktari,med lab,pharmacy uiendeleze, uncle wako ana kampuni ya ujenzi kasome engineering.ukiachilia mbali udaktari/ualimu ni kozi gani yenye ajira ya moja kwa moja hasa kwa michepuo ya sayansi-?
hhahahahahahhahah................factUkweli mchungu ni kwamba kwa sasa hakuna fani yenye ajira moja kwa moja hata huo udaktari, Ila tu kuna course zenye uafadhali pia unaweza kuangalia mazingira yako wapi unaweza kupata nafasi nzuri zaidi ya kuitumikia fani yako, mfano babu yako ana dispensary kasome udaktari,med lab,pharmacy uiendeleze, uncle wako ana kampuni ya ujenzi kasome engineering.
Kama uko zero na we ndo msomi wa familia basi udaktari ni mzuri kuna vijiwe vya kupiga kahela kwa kula kwa siku, hata engineering pia mf architecture ukimaliza ukawa vizuri vihela vya kulakula utapata.
Kikubwa n kujituma ndugu yangu ajira za sku hizi hazisomeki.