humphrey_leslie
New Member
- Sep 26, 2014
- 2
- 2
Ningependa kuuliza je mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kupata division two..Je ninaweza kuapply chuo chochote Tanzania na kuanza kusoma kwa level ya diploma au haiwezekan..?