Tuambie somo gani ulikuwa unalipenda sana sekondari na sisi tutakuuliza swali kulingana na hilo somo

MorTimer

MorTimer

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,201
2,000
Wakuu,

Tujikumbushe enzi nzetu kidogo na tuone nani alikuwa nondo na nani alikuwa kilaza enzi zake akiwa sekondari.

Tupia somo lako pendwa hapa tukudunge swali.

Au weka swali la somo lolote la sekondari tupime uwezo wa watu humu.
 
Top Bottom