Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,287
- 8,828
Elimu yetu ina enda kusiko julikana... ina shangaza watu wamesoma na kuhitimu ina wezekana na ajira wamepata wana hudumu sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi, alafu baadae tuna kuja kufuta kile watu walicho kivuna baada ya kuwekeza kwa muda wao walipo kuwa hapo... ina shangaza ni moja ya tatizo kubwa hili...
Vyombo vyetu vyenye kusimamia Elimu nchini vina matatizo gani mpaka haya yanatokea..?? iliwahi tokea pale Kampala University, Bagamoyo University, na vyuo vingine vikipelekewa malalamiko mbalimbali... vikiwemo vyuo vya wa morovian, wakatoliki, na hata vya umma
sasa hili ni la chuo cha mlima meru ni kubwa zaidi na lina tia hofu katika jamii watu kwenda kusoma ktk taasisi za hapa nchini kwakuwa hatujui kesho itakuwaje....
kwa hili la chuo kikuu mlima meru tuna hitaji maelezo ya kina sisi wananchi ili kututoa katika tongotongo kubwa na ukakasi wa hali ya juu... tusije peleka tuhuma sehemu isiyo itajika...
Wasalam