Wanafunzi wa certificate (level 5 ) na diploma (level 6) wote husoma vitu sawa, hadi pale mwaka wa pili certificate wana exit collegeCertificate na diploma ndio nini hiko mkuu?? Tuanzie hapo kwanza
Yah namjua, na ni mshkaj wang piaMkuu, kuna mshkaji wangu hapo Ndanda School of Nursing anaitwa Adamu Kitwanga unamfahamu..?