Ushauri: Chuo kizuri cha Engineering India

Ushauri: Chuo kizuri cha Engineering India

Chigwiyemisi

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
531
Reaction score
230
Wanajamvi heshima mbele.
Naomba kujua kwa mwenye uelewa mzuri kuhusu vyuo vya India vinavyotoa Degree ya Engineering (Civil) na makadirio ya gharama zake. Nina binti yangu nataka nimpeleke huko. Naomba pia kwa anaejua anishauri njia rahisi za kuomba nafasi na pia ubora wa elimu yao.
Nawasilisha
 
Watembelee Global Education Link.
Hawa ndio wanaowatafutia watu vyuo nje ya nchi.
 
waone global education link wanajua vyuo vizuri india na vya ada nafuu.. mcheki huyu jamaa ni mfanyakazi wa GEL LINK +255653509999 atakusaidia.
 
waone global education link wanajua vyuo vizuri india na vya ada nafuu.. mcheki huyu jamaa ni mfanyakazi wa GEL LINK +255653509999 atakusaidia.
Nashukuru sana. Ngoja nimtafute
 
Back
Top Bottom