Registration fee kwa kuomba kujiunga na Chuo Kikuu Huria ni shillingi ngapi?

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,949
2,000
Wakuu,

Kwa mwaka huu wa masomo,ni kiasi kinahitajika unapoomba nafasi chuo huria kwa ngazi ya shahada?

Thanks in advance!
 

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,949
2,000
fredy18 kama umefanya mtihani mara mbili,mathalani 2010 na 2018,huku mwaka 2018 kutafuta credit ulizozikosa 2010

Unapojaza fomu ya kuomba nafasi Chuo Huria unaandikaje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom