Msaada wa vitabu vizuri vya biology, physics na chemistry kwa form 5

sam sanity 01

Member
May 25, 2017
37
8
Salamu zenu ndugu wanajamii,
Nahitaji kufahamu vitabu vinavyofaa,muhimu na rahisi kuvitumia katika masomo ya kidato cha tano na sita hasahasa masomo ya biology,physics na chemistry.
 
BIOLOGY---->BIOLOGICAL SCIENCE(BS) kikifuatiwa na Understanding Biology

Physiscs tafuta Chand na Nelkon

chemistry tafuta Ramsden kama unaweza tafuta vitin vya kina Ngaiza&Unga chemistry&Mandia
 
BIOLOGY---->BIOLOGICAL SCIENCE(BS) kikifuatiwa na Understanding Biology

Physiscs tafuta Chand na Nelkon

chemistry tafuta Ramsden kama unaweza tafuta vitin vya kina Ngaiza&Unga chemistry&Mandia
Mpe njia rais tuu., hayo ma understanding biology ya nn sasa.., kitabu kizuri ni BS, hizo nelkon mbwembe tuu
 
Raymond Chand kilikuwa kitabu changu pendwa kwenye nyanja za Inorgamic Chemistry. Na PCM yangu, chemistry niliiona mtelezo kiasi chake ,make jamaa kurasa za mwisho unakutana na brief descriptions and definitions of various terminologies.
 
Back
Top Bottom