MATHEMATICIAN CORNER
Member
- Aug 20, 2016
- 24
- 15
Kwa sasa naomba nikiri kuwa ELIMU yetu iko ICU inaelekea kwenye jeneza ama kaburi ifukiwe NA kupotea kabisa. Kuna mambo tutabishana lakini kwa hili naomba mnielewe.
Nilikuwa najaribu kuongeza ELIMU ya computer out na kwa bahati tunapata wasaa wakufundishwa na walimu wa out. Kuna mkurugenzi hapa out hajui hesabu za form four.
Kidogo niko vizuri kwenye hesabu. Huyu mkurugenzi ana PhD na anawaingiza chaka wanafunzi mbaya kabisa. Sasa najiuliza hao wanafunzi wa secondary inakuwaje?
Kama tujuavyo wanafunzi wanaofeli ndio wanaokimbilia nafasi za ualimu na tuna miaka zaidi ya 30 tunachukua wanafunzi wanaofeli na kuwafanya walimu. Kwa maana hiyo tuna walimu wengi sana waliofeli, na si ajabu ukakuta kuna shule ina walimu wote waliopita kwa division four mbaya kabisa.
Sasa najiuliza kama bado tunapigana na walimu kufaulisha wanafunzi na tunaacha kupigana NA kuondoa walimu vilaza mashuleni basi kwa sasa tuko ICU na hiki kizazi kitakapo mpata mwendawazimu atakitumbukiza kaburini mazima.
Inawezekana tunaiangalia elimu kwa jicho la kawaida. Wandugu mnaofanya maamuzi upande wa elimu na serikalini kwa ujumla.
Chonde chonde tafakarini upya jinsi ya kuinusuru ELIMU yeti