UDOM huu ni wizi

Status
Not open for further replies.

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
14,020
2,000
Habarini za muda huu wakuu
Siku nne zilizopita nilifungua account ya online application kwa ajili ya bachelor degree pale udom
Wakanitaka nilipie kwa tigo pesa kwa kuwapa namba ya simu na password, nikafanya hivo wakakata pesa yao tsh10000 na wakanitumia sms ya kuonesha pesa imepokelewa wakanipa na namba fulani

Lakini cha ajabu kule mtandaoni nikashindwa kuendelea na hatua za kuomba admission ikabidi niwasiliane nao kwa email yao oas@udom.ac.tz
Lakini mpaka sasa ni siku 4 zimepita sijibiwi na kila nikienda kwenye system mambo ni yale yale tena saivi wananitaka nilipe kwa mpesa na option zingine kama bank

Naombeni msaada wenu
 

Kingo

JF-Expert Member
May 12, 2009
843
500
Wakanitaka nilipie kwa tigo pesa kwa kuwapa namba ya simu na password, nikafanya hivo wakakata pesa yao tsh10000 na wakanitumia sms ya kuonesha pesa imepokelewa wakanipa na namba fulani"
Hebu fafanua hapo kwanza, kuwapa namba ya simu na password!! Nahisi ushaingia mtaa wa pili
 

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
14,020
2,000
Wakanitaka nilipie kwa tigo pesa kwa kuwapa namba ya simu na password, nikafanya hivo wakakata pesa yao tsh10000 na wakanitumia sms ya kuonesha pesa imepokelewa wakanipa na namba fulani"
Hebu fafanua hapo kwanza, kuwapa namba ya simu na password!! Nahisi ushaingia mtaa wa pili
Wakanipa kumbukumbu namba
Yani nilivoandika namba yangu ya simu na password kule mtandaoni, ikaja sms inaonesha nimefanya malipo UDOM kutoka tigo ,alafu ikaja na ya UDOM ikiwa na kumbukumbu namba
 

Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,667
2,000
Ni kweli name nimepambana na hiyo challenge ndani ya siku mbili lakini alhamdullillah mambo yalikaa sawa walinirekebishia na nikamaliza mchakato mzima. Kikubwa vuta pumzi mkuu serve bado haziko vizuri ila hawajafikia ukatili huo
 

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
14,020
2,000
Mbona naona procedure yao kulipa haina huo mlolongo wa kutoa namba ya simu na password? We lipa tena ukiwa makini wakati huu. Karibu mjini.
Mkuu, walikua wameweka hiyo procedure ila wakaitoa
Sasa dah mpaka serikali wanakua wezi
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom