Cleopa Malcom
Member
- Feb 25, 2018
- 8
- 4
msaada jamani juu ya clinical officer kwa matokeo haya chem-C, bios-C, phyz-F, math-D na englsh-C . Na kama naeza kupata ni kwa chuo gani ?
wakuu msaada jamani
wakuu msaada jamani
Ingia NACTE admission guide book utaona kama una sifa za kujiunga na kozi hiyo. Utapata jibu la moja kwa moja. Angalia kozi za afya utapata jibu. ALL IN ALL UNAPATA ILA KWA VYUO VYA SERIKALI USHINDANI NI MKUBWA, BINAFSI UNAPATAmsaada jamani juu ya clinical officer kwa matokeo haya chem-C, bios-C, phyz-F, math-D na englsh-C . Na kama naeza kupata ni kwa chuo gani ?
wakuu msaada jamani
Anapata bila wasi wasi hapoMkuu samahani Kweli kwa Hayo matokeo usiweke Matumaini yote kwenye Clinical Medicine, Jaribu Kuangalia na Kozi Zingine!
Mkuu sijui nmeona vibaya.. nmeona kama ana F ya Fizikia, Jambo ambalo ni Gumu Mno kupata Stashahada ya Udaktari!Anapata bila wasi wasi hapo
Ila vizur akaomba vyuo japo viwili
Kam college wanatoa clinical medicine
Kampala university
College of health science -zanzibar
Make ur choice mkuu