Ndugu wana Jamvi nimekuwa katika wakati mgumu juu matokeo yangu ya kidato yenye grades. EED kwa hgk najiuliza niende open(foundation) au nijipange tena? Sitopenda matusi wala kashfa kama huna cha...
Kwanza naomba kutanguliza pongezi katika utendaji wako wa kazi katika kuboresha, na kuhimarisha hadhi ya ubora wa Elimu inayotolewa Tanzania kwa Ngazi tofauti. Andiko langu ni kukuunga mkono...
Habari za jioni wakuu, ninandugu yangu anasoma chuo kikuu nje ya Tanzania. Kutokana na vyuma kukaza nafikiria kumuhamishia nyumbani yaani Tz ila sijui utaratibu wa kufuata naomba mnisaidie...
Habari wana jukwaaa wa Jamii Forum
Hivi karibuni waziri wa utumishi @Mkuchika alitoa agizo kwa Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuto wazuia Watumishi wanapohitaji kuhama.
Kinachotokea kwa sasa...
Ipi ni nzuri kwa upande wa ajira kati ya diploma ya pharmacy na laboratory?
Zote nazipenda na naamini naweza kuzimudu au ipi inaweza fanya ukajiajiari kwa urahisi?
Asanteni na naomba mawazo...
Njoo Morogoro wilaya ya Malinyi iliyopo karibu na wilaya ya Ulanga,Kilombero na Ifakara mji nije Moshi vijijini, Moshi Manispaa, Rombo na Hai idara elimu sekondari mawasiliano 0655669079/0719576667
Hii ina maana gani: Two principal passes in Biology/Zoology and Chemistry and a pass in Physics/ Mathematics/ Science and Practice of Agriculture at the ACSEE. A candidate who does not have a pass...
Kichwa cha habari chahusika.
Binti mwenye two ya 10 HKL anaweza soma kozi gani nzuri bila kukutana na kikwazo kikubwa cha ushindani? (Kozi nzuri kwa watu wa arts) bila kusahau vyuo husika...
jamani ufaulu wa EDD kombi ya CBG unanitesa maana hata course ya kuchagua sipati wala chuo sijui ni chuo gani kitanifaa.
Ieleweke mimi sio mtu wa kusoma sana,naomba ushauri wenu kwa wazoefu wa...
Kama nilivyo jieleza hapo juu .mm nmemaliza six mwaka huu kwa comb ya CBG kwa ufaulu wa Div 3 ambapo nina E ya chem pamoja na D mbili za geo na bioc
Sasa wa naombeni msaada za koz zeny tija za...
Me nimesoma PCB na matokeo yangu siyo maxuri saba ila asante mungu na asanteni sana kwa kunisadia kwenye post iliyopita nimesha apply SUA nimepata two ya 10 matokeo yangu ni CCD ktk chem bios na...
Wadauu kama mada inavyosema hivi kozi ya electrical& electronics eng. Pale arusha tech.wanafundisha fresh au miyeyusho tu na mazingira ya chuo yanaridhisha? Kwa wale wenye uzoefu naombeni ushauri...
Anayependa kuja Mkoa wa Morogoro wilaya mpya ya Malinyi mimi nije Moshi vijijini hasa kata ya kimochi au wilaya ya rombo,hai au siha idara ya elimu sekondari anitafute kwa namba hii...
Wajumbe hivi majuzi nimeambiwa na binamu yangu kuwa anasoma shahada ya kwanza Kampala International University tawi la Dar es Salaam. Binamu yangu huyu alifeli form 4 kwa kuscore division zero...
Salaam wanajamvi.....
Kama kichwa kinavyojionesha, Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo Tanzania (HELSB) na washirika wake pamoja na serikali wameamua kuwakata wanafunzi wanaonufaika na mikopo ya elimu...
Salama wakuu? Naimani kwa majaaliwa yake mola mko poa, mniruhusu nielekee kwenye mada!
Nmeuleta huu uzi mahala hapa kua uwanja wa majadiliano ya kina kuiangalia hii sekta ya elimu ni kwa vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.