Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 882
- 1,029
Kwanza naomba kutanguliza pongezi katika utendaji wako wa kazi katika kuboresha, na kuhimarisha hadhi ya ubora wa Elimu inayotolewa Tanzania kwa Ngazi tofauti. Andiko langu ni kukuunga mkono kuhusu matumizi ya JOHO katika utunuku wa ngazi za uhitimu mbalimbali. kupitia tamko lako la matumizi ya JOHO kiholela, naomba kuwasilisha kwako pendekezo la muhoneko wa mavazi ya uhitimu kuanzia ngazi ya chini hadi ngazi ya elimu ya juu.
1. NURSERY
Wavae Uniform zao lakini waongeze muonekano wa TAI (ME) /SCARF (KE) ( RANGI NYEUPE)
2. PRIMARY LEVEL ( STD SEVEN)
Wavae Sare zao lakini waongeze muonekano wa TAI (ME)/ SCARF (KE) (RANGI NJANO)
3. ORDINARY LEVEL (FORM FOUR)
Wavae Sare zao lakini waongeze muonekano wa TAI (ME)/ SCARF (KE) ( RANGI KIJANI)
4. ADVANCE LEVEL ( FORM SIX)
Wavae Sare zao lakini waongeze muonekano wa TAI (ME)/ SCARF (KE) ( RANGI YA BLUE)
5. CERTIFICATE (ASTASHAHADA)
Wavae Sare zao / Shati rangi Nyeupe, waongeze muonekano wa TAI (ME)/ SCARF (KE) ( ZEBRA NYEUPE NA KIJANI). hii inajumuisha na Elimu zitolewazo vyuo vya ufundi kama VETA wanaotumia mfumo wa LEVELS zinazoendana na ngazi ya Cheti.
6. DIPLOMA (STASHAHADA)
Wavae Sare Zao/ Shati rangi Nyeupe, Waongeze muonekano wa TAI (ME)/ SCARF (KE) ( ZEBRA NYEUPE NA BLUE) Hii inajumuisha na Elimu zitolewazo na vyuo vya ufundi kama VETA wanaoyumia mfumo wa LEVELS zinazoendana na ngazi ya stashahada.
7. BACHELOR DEGREE (SHAHADA)
Wavae JOHO, SHATI NYEUPE/ BLOUSE NYEUPE na TAI (ME)/ SCARF ( RANGI NYEUSI)
8. MASTERS
Wavae JOHO, SHATI NYEUPE / BLOUSE NYEUPE na TAI (ME)/SCARF (KE) ( RANGI NYEKUNDU) Rangi nyekundu Yenye maana ya POWER (nguvu) kwasababu ameshakuwa mbobezi wa Elimu husika.
NB: Naomba kuwasilisha pendekezo hili bila kuharibu itufaki ya kimahakama ambapo wahitimu wa uwakili ( LAW SCHOOL), wanamuonekano wao unafuata taratibu za kiitifaki ya kimahakama.
HAPA KAZI TU, REBORN OF NEW TANZANIA
Naomba kuwasilisha