How to turn education service to enterprise!

Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,186
2,000
Salama wakuu? Naimani kwa majaaliwa yake mola mko poa, mniruhusu nielekee kwenye mada!
Nmeuleta huu uzi mahala hapa kua uwanja wa majadiliano ya kina kuiangalia hii sekta ya elimu ni kwa vipi wajasiriamali wa elimu (wachanga na wakongwe) wanaweza kuboresha huduma ya kutoa elimu kwa kuweka ubunifu, na miundombinu ya kisasa huku wakitengeneza faida (sababu hii ni biashara kama biashara zingne).

So hapa nataka tujadiliane value chain nzima ya industry hii, ni maeneo yapi mjasiriamali wa elimu (Education entrepreneurs) wanaweza kuingia au wakachangia katika kuboresha elimu yetu mosi iweze kua aina ya elimu ya kumkomboa kijana wa kitanzania kuweza kuiabiliana na changamoto za maisha ya karne ya leo. Tutaangalia hasa hasa role ya private enterprise mbali na serikali katika suala zima la utoaji wa elimu yetu nchini. And how these private enterprise can make money for themselves.

Kwa kuanzia mi nitaainisha maeneo machache kati ya ninayoyafahamu ambayo one can make profit from them.

i) kuanzisha shule
I can say that it's among of the oldest way tangu enzi za wahenga wetu, na kuhusu hili naweza sema serikali japo kwa sasa ndio imehodhi kwa sehemu kubwa ya kua mtoaji huduma ya elimu lakini serikali ni mwekezaji 'mpya' kwenye industry hii sababu shule za binafsi (hasa mashirika) zilikuwapo tangu enzi za ukoloni.
Kwa wenye mtaji wa fedha huu ni uwekezaji mzuri na profit yake kwa sehemu kubwa inatoka kwenye ada!

ii)

iii)

iv)......
Karibuni wadau....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom