khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,147
- 1,079
Mwenye ufahamu wa soko la hii facult kwa hapo Tz ...
OkHyo no sawa na ile inatolewa udsm inaitwa molecular biology and biotechnology.... Ni koz ambayo utakuwa MTU wa maabara za kilimo....kufanya utafiti huko kwenye hzo maabara
Kuna dogo anataka kuomba hio ..lkn aljua kuna ishu za medical..Hakuna medical hapo....lkn vijana wengi huingia kichwa wakijua kuna medical kwenye hizo kozi....we unahitaji kusoma koz upande UPI?